Omari Ali juma alikuwa nan mkuuPia ya Omari Ali Juma yasijirudie
Hapa bongo hawezi kufa mtuu labda wamunguee kwao kongo... Tshisekedi yeye atume tu wajumbe kwa agizo la kuwa wasikilizaji tu!
Ruto, Museveni na Kagame ni team moja tayari, na kwahiyo huo mkutano una walakin!
Mkutano wenyewe hauna la maana zaidi ya kuja kutishiwa na kushinikizwa na Ruto, Museven na Kagame! ... hayo sio maongezi ya amani bali ni kuliweka suala ndani ya jokofu ili kuja kuliibua muda ukifika!Hapa bongo hawezi kufa mtuu labda wamunguee kwao kongo
Sasa huu mkutano mm sijaelewa unataka wapatane au ni nnMkutano wenyewe hauna la maana zaidi ya kuja kutishiwa na kushinikizwa na Ruto, Museven na Kagame! ... hayo sio maongezi ya amani bali ni kuliweka suala ndani ya jokofu ili kuja kuliibua muda ukifika!
Jiwe mlimfanya nini??Hata salamu awe makini kupeana mikono...akiamua kuja
Sema ukweli??Mada ni ya Congo mkuu.
Alikuwa makamu wa Rais wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika serikali ya awamu ya tatu chini ya rais Benjamin Mkapa.Omari Ali juma alikuwa nan mkuu
Amekwambua wakati wa kurudi kikao kikiishaHapa bongo hawezi kufa mtuu labda wamunguee kwao kongo
Ok nawe walimdedishaaaAlikuwa makamu wa Rais wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika serikali ya awamu ya tatu chini ya rais Benjamin Mkapa.