Wanaotoa amri ya kuiba rasilimari ya inchi na kila aina ya uchafu ndiyo haohao waliotoa amri ya ulinzi wa tarehe 9 december 2025,maana yake ilikuwa kwa ajili zaidi ya maslai yao ili wasiguswe waendelee kukaa madarakani
Kwa lugha nyepesi ndiyo maana wanataka Amani badala ya Haki,maana haki itawazuia wasiibe na Amani itawapa utulivu wa kufurahia mali walizotuibia