Ulinzi wa eneo lako ni jukumu lako, weka vifaa bora kwa matokeo bora

Ulinzi wa eneo lako ni jukumu lako, weka vifaa bora kwa matokeo bora

Joined
Aug 15, 2018
Posts
19
Reaction score
19
Tunakuuzia,kufunga na kufanya matengenezo ya mifumo ya ulinzi kuhakikisha inafanya kazi kwa ufanisi zaidi.

Kumbuka usalama wa eneo lako ni jukumu lako zaidi,funga vifaa bora saidizi vya ulinzi kwa matokeo bora.

Tunahusika na
●Cctv camera aina zote [kasoro camera fiche hidden camera]
●Electric fence (uzio wa umeme)
Free standing (maeneo ya shamba/kulisha mifugo) na top wall uzio unaowekwa juu ya ukuta wa fensi (maeneo ya nyumbani/biashara)

●Gate motor.
Kuanzia uzito 0 mpaka kilo 2000.
Gate motor ni muhimu sana kwenye geti lako.
➡️Remote/simu zinaweza kufungua geti hadi umbali wa mita 100.

Zinakuja na back up batteris kuwezesha kufanya kazi hata kama umeme ukikatika.
✍️ Inatumia umeme kiasi kidogoa sana.

🏷Bei zetu ni kama ifuatavyo
👉 D03 Smart [KG 0-300] ni1,500,000/=
👉D 05 Evo[ KG 0-500] kwa 1,600,000/= (hii sio smart)
👉D5 Evo smart [KG 500] 1,700,000/=
👉D6 smart [KG 600] kwa 1,800,000/=
👉D10 Smart [Kg 1000] 2,950,000/=
👉D20 [KG 2,000] 3,550,000/=

●Video door phone
Ongea na mgeni wako akiwa getini kabla hujamruhusu aigie ndani,hapa kuna aina mbili za video phone.
▪︎Analog =>hii unamuona mgeni wako ukiwa ndani ya nyumba na kuongea nae
▪︎Ip =>Hii unamuona mgeni wako ukiwa ndani ya nyumba na vile vile hata usipokuwepo nyumbani au nchini kabisa unaweza kuongea nae kupitia simu ya mkononi na mkamalizana.

●Satellite dish
Tunahusika na kufunga mifumo ya dish za internet pamoja na dish za television.
Tunafunga mifumo ya tv hotelini,nyumbani,maeneo ya bishara.

●Alarm system
Hapa ikiwa mfumo umewashwa alarm itatoa taarifa kujulisha kitu si cha kawaida kimetokea na utachukua tahadhari.

Tunapatikana Dar Es Salaam na tunafanya kazi mikoanyote Tanzania bara na visiwani.

Tupigie/whatsapp/sms 0658517022
 

Attachments

  • IMG-20241001-WA0012.jpg
    IMG-20241001-WA0012.jpg
    234.7 KB · Views: 7
Back
Top Bottom