Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?

Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?

Phillemon Mikael

Platinum Member
Joined
Nov 5, 2006
Posts
10,557
Reaction score
8,673
Huwa wakuu wote wa nchi wanapoenda nchi zingine kwa ziara rasmi wanapewa ceremonial aide de camp na host country ,nimefuatilia ziara ya jana sioni aide de camp wa TPDF nyuma ya PK as practiced.je ina maana gani ?

Kuna picha nimeweka ya ziara ya mwaka 2016 nyuma ya PK kuna aide de camp wa TPDF na picha zingine ambazo hana aide de camp ni jana .
d5a845acdd5d552d38acdc51a3e60e85.jpg


26ab99014624658f2e0447ed8cc5470a.jpg


9d3ced804a78b914983639a47d893cb1.jpg
 
Enzi zetu kabla sijastaafu JEIWII ukitoa heshima ya ukaguzi silaha tunashika kama askari wa4 upande wa kuume, kidole gumba kinalalia ndani sio nje kama wengi walivyofanya
 
Nitakuwa nimemuelewa mtoa mada.......

Naogopa kuchochea......
 
Bavicha mwenzio huyo Na hizo ndo hoja zenu. Kama hamuelewani nyie Nani mwingine atawaelewa?
Daaaaah[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa uandishi huu wa kibavicha bavicha taifa litapotea.
Yaani mtu katupia viroba vyake na kuandika imaginations za kipombe pombe.
Nimeamini uwezo Wa wengi humu uko chini ya kiwango! Unashindwa kuelewa?
 
Back
Top Bottom