Omuchimati
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 427
- 202
Ni kama anajisimulia story ye mwenyewe, na story hiyo haieleweki.Mkuu, kiujumla unataka kusema nini hasa? Maana, ni kama umejiambia mwenyewe tu. Tusaidie nasi tuelewe mantiki ya hoja yako Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama anajisimulia story ye mwenyewe, na story hiyo haieleweki.Mkuu, kiujumla unataka kusema nini hasa? Maana, ni kama umejiambia mwenyewe tu. Tusaidie nasi tuelewe mantiki ya hoja yako Mkuu.
Hata mimi nimesoma halafu nikajiuliza mleta mada anataka nini. Kweli naona kajiambia mwenyewe tu.Mkuu, kiujumla unataka kusema nini hasa? Maana, ni kama umejiambia mwenyewe tu. Tusaidie nasi tuelewe mantiki ya hoja yako Mkuu.
Sio kila kitu lazima kikusaidie, vingine ni lazima vikutie adabu tu kama hii.Inatuhusu nini sisi?
UmevurugwaKwa uandishi huu wa kibavicha bavicha taifa litapotea.
Yaani mtu katupia viroba vyake na kuandika imaginations za kipombe pombe.
Ushapiga wanzuki asubuhi yote hii?Sio kila kitu lazima kikusaidie, vingine ni lazima vikutie adabu tu kama hii.
Siku hizi nidhamu A kijana.Mkuu, kiujumla unataka kusema nini hasa? Maana, ni kama umejiambia mwenyewe tu. Tusaidie nasi tuelewe mantiki ya hoja yako Mkuu.
Nidhamu muhimu Mkuu. As always!Siku hizi nidhamu A kijana.
Asante kwa kuwatoa tongotongo BAVICHA.Kiprotokali ni kwamba Rais yoyote akiwa anafanya Official Visit halafu ni ya siku moja tu huwa hapewi huyo Ceremonial Aide de Camp ila akiwa anafanya State Visit ndipo hutakiwa kuwa au kupewa huyo Ceremonial Aide de Camp. Ziara ya jana ya Rais Kagame ' Kiprotokali ' ilikuwa ni ya Official na siyo ya State. Kuna tofauti kubwa mno ya ' Kiprotokali ' kati ya Official visit na State visit kwa Marais mbalimbali duniani.
Kila la kheri.
Asante kwa kuwatoa tongotongo BAVICHA.
Hili bandiko liko nje ya elimu yako,ungebaki msomaji ingependeza zaidi.Ujinga mtupu
State visit ndio inakuwa na vukorombwezo vingi ambavyo ktk ziara hii (not state visit) havikuwepo
Ikiwemo KUPIGIWA MIZINGA
NB: Knowledge from CENTRE FOR FOREIGN RELITIONS (CFR) KURASINI
Lecturer: Amb. Chilambo