stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Hayawasaidii kitu wewe na nani?Mambo mengine tuwe twayacha maana hayatusaidii kitu
Kama unaona chenga pita kimya nenda kwenye majukwaa mengine
sio lazima usome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayawasaidii kitu wewe na nani?Mambo mengine tuwe twayacha maana hayatusaidii kitu
Hiyo ni sheria za nchi...kwa yule mlinzi mwenye sale za jeshi ni symbol ya kuonyesha a president of this country is a commander in chief as stipulated in a constitution of united republic of Tanzania 1977Wakuu wa itifaki na taaluma ya Usalama salamu kwenu.
Nakuja hapa jukwaani baada ya tafiti fupi nliofanya juu ya ziara mbalimbali za ma Rais Duniani, ya kwamba:
1. Rais mgeni akiwa katika Nchi ya ugenini basi yule mwambata wake mjeshi huwa anarudi nyuma na kupewa mwambata wa Nchi hiyo ya mwenyeji wake hapa naweka kiambatansiho wa ajili ya msisitizo wa hoja. ( Utaona hapa chini Mjeshi wa Zuma yuko nyuma ya Mjeshi wa
Tanzania.
![]()
2. Sasa kwa Rais Kagame imekau tofauti sijaona Mjeshi kwakwe awali yeyoye yule. sasa sijajua ni kwa nini?
![]()
Maswali yangu ni haya!
a) Yule Mjeshi nyuma ana maana gani
b) Kwann Kagame hakua na Mjeshi
NYONGEZA
Kama una uzoefu na Protocal za hizi shughuli tafadhali achia darasa huru.
Then your conduct befits and qualifies you as suchChief mimi mtoto mwenzio .....mimi...niko forums toka 2004 ,BCS ....
So hayo mambo ya uvccm and bavicha ni kunikosea adabu....
Aende jukwaa la watu wazimaHayawasaidii kitu wewe na nani?
Kama unaona chenga pita kimya nenda kwenye majukwaa mengine
sio lazima usome
Phillemon Mikael Kiprotokali ni kwamba Rais yoyote akiwa anafanya Official Visit halafu ni ya siku moja tu huwa hapewi huyo Ceremonial Aide de Camp ila akiwa anafanya State Visit ndipo hutakiwa kuwa au kupewa huyo Ceremonial Aide de Camp. Ziara ya jana ya Rais Kagame ' Kiprotokali ' ilikuwa ni ya Official na siyo ya State. Kuna tofauti kubwa mno ya ' Kiprotokali ' kati ya Official visit na State visit kwa Marais mbalimbali duniani.
Kila la kheri.
Mkuu nakukubali sana kwenye nyanja hizi.
Jiheshimu, kisha tutakuheshimu.Nenda ukawe mlinzi wake
Haya.Muuulizeni Mange
HaswaaaaHaikusaidii wewe mkuu.
Wengine tunataka kujua zaidi mambo ya protocol kama wewe unavyojua kuhusu IT etc.
Ficha ujinga wako kwa kukaa kimya.
Huwa wakuu wote wa nchi wanapoenda nchi zingine kwa ziara rasmi wanapewa ceremonial aide de camp na host country ,nimefuatilia ziara ya jana sioni aide de camp wa TPDF nyuma ya PK as practiced.je ina maana gani ?
Kuna picha nimeweka ya ziara ya mwaka 2016 nyuma ya PK kuna aide de camp wa TPDF na picha zingine ambazo hana aide de camp ni jana .![]()
![]()
![]()
hii kauli nzito sana kwa wanaofikiria kwa mapana na kinaUtaitaji ulinzi ukiwa shambani kwako kuchukua ripoti?
Umeona eeeehMkuu, kiujumla unataka kusema nini hasa? Maana, ni kama umejiambia mwenyewe tu. Tusaidie nasi tuelewe mantiki ya hoja yako Mkuu.
Hii ya Museveni naomba picha tafadhali.Sasa huu ndio...ubobezi
Lakini kuna wakuu wengine wa nchi huko...nyuma...walikua official or working visit ie museveni...na...wakachukua aide de camp...wetu ni...ishara ya heshima...tu na.kuonyesha kuaminiana ....na...aide de camp aliyekuja naye anakuwa...tu karibu ..kumuangalia na kumsaidia aide de.camp...wa...host
Asallaleh!Eti eeeh
Wanaojua...huwa hawaji na...lawama...hata wanaojua bado hujielimisha
Be humble
Hapa tunajadilianaAsallaleh!
Kwa hiyo kwa kujifanya unajua protikali ya Kagame kutosimamiwa na mwanajeshi mtanzania ndo wapanga shughuli za kitaifa wanajifunza kutoka kwako???
Ama kweli siasa haitakuacha salama.
Marekani hata akiwa kwao hana aide de camp zaidi ya secret service na Segent on...duty anayebeba " black ball"Je, Obama alipokuja hapa alipewa mpambe wa TPDF ? Vipi alipokuja Bush naye alipewa mpambe wa TPDF nauliza tu jamani....haya ni mambo ya protokali ...yana maana yake...ila nakumbuka alipokuja Papa John Paul II miaka ile ya 90 mpambe wa Pope alikuwa Major Gaudence Milanzi (sina hakika sana kama wakati huo alikuwa ni Meja au Luteni Kanali) ambaye sasa ni Meja jenerali na ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mali Asili...
Am worried of you brother. Kama tutaacha mambo yaende kama ulivyofanya really ni tatizo. Huwa hakuna moja kujumlisha moja katika mpangilio wa sherehe na dhifa za kitaifa na kila shughuli ina mpangilio kutokana na mahitajio ya ugeni.Hapa tunajadiliana
Hatumpangii mtu
Dont take it personal
Huu ndio Mpangilio (formation) rasmi ya aide de camps wakati Ziara ya Kikazi(official or working visit)Phillemon Mikael Kama hujui protocol ni vyema ukauliza kuliko kukurupukia ushabiki wa kisiasa na kujifanya unajua mambo. Kila tendo la kitaifa lina protokali kutokana na aina ya shughuli.
Kuna wakati Zitto alilalamika makamu wa Rais wetu kupokelewa na waziri huko Kenya kwa sababu tu ya kujifanya anataka kuongea alichokiona na si protokali inavyofanya kazi.
Wewe pia umefanya kama alivyofanya Zitto. Uliza ujibiwe badala ya kuleta uzi usio na utalaam nao kwenye jamii halafu ukajifanya unajua kuliko wanaoshinda wakijishughulisha na hizo kazi.