Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?

Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?

State visit ndio inakuwa na vukorombwezo vingi ambavyo ktk ziara hii (not state visit) havikuwepo
Ikiwemo KUPIGIWA MIZINGA

NB: Knowledge from CENTRE FOR FOREIGN RELITIONS (CFR) KURASINI

Lecturer: Amb. Chilambo
 
Phillemon Mikael Kiprotokali ni kwamba Rais yoyote akiwa anafanya Official Visit halafu ni ya siku moja tu huwa hapewi huyo Ceremonial Aide de Camp ila akiwa anafanya State Visit ndipo hutakiwa kuwa au kupewa huyo Ceremonial Aide de Camp. Ziara ya jana ya Rais Kagame ' Kiprotokali ' ilikuwa ni ya Official na siyo ya State. Kuna tofauti kubwa mno ya ' Kiprotokali ' kati ya Official visit na State visit kwa Marais mbalimbali duniani.

Kila la kheri.
 
Kiprotokali ni kwamba Rais yoyote akiwa anafanya Official Visit halafu ni ya siku moja tu huwa hapewi huyo Ceremonial Aide de Camp ila akiwa anafanya State Visit ndipo hutakiwa kuwa au kupewa huyo Ceremonial Aide de Camp. Ziara ya jana ya Rais Kagame ' Kiprotokali ' ilikuwa ni ya Official na siyo ya State. Kuna tofauti kubwa mno ya ' Kiprotokali ' kati ya Official visit na State visit kwa Marais mbalimbali duniani.

Kila la kheri.
Asante kwa kuwatoa tongotongo BAVICHA.
 
Phillemon Mikael Kama hujui protocol ni vyema ukauliza kuliko kukurupukia ushabiki wa kisiasa na kujifanya unajua mambo. Kila tendo la kitaifa lina protokali kutokana na aina ya shughuli.

Kuna wakati Zitto alilalamika makamu wa Rais wetu kupokelewa na waziri huko Kenya kwa sababu tu ya kujifanya anataka kuongea alichokiona na si protokali inavyofanya kazi.

Wewe pia umefanya kama alivyofanya Zitto. Uliza ujibiwe badala ya kuleta uzi usio na utalaam nao kwenye jamii halafu ukajifanya unajua kuliko wanaoshinda wakijishughulisha na hizo kazi.
 
State visit ndio inakuwa na vukorombwezo vingi ambavyo ktk ziara hii (not state visit) havikuwepo
Ikiwemo KUPIGIWA MIZINGA

NB: Knowledge from CENTRE FOR FOREIGN RELITIONS (CFR) KURASINI

Lecturer: Amb. Chilambo

Daaah mkali kweli unrhudhuria CFR

Umemaliza mjadala State visit vs Official visit

Ya Jana ni Official visit. Ile ya 2016 ilikua State visit
 
Nchi nyingi zilizoendelea zmeanza kuepukana na kuwa na. ADC nyuma ya rais maana tofauti na kuonyesha kuwa rais ni Amiri jeshi mkuu hana kazi yoyote wengi sasa wamekuwa wanaweka walinzi madhubuti wenye weledi
 
Wakuu wa itifaki na taaluma ya Usalama salamu kwenu.

Nakuja hapa jukwaani baada ya tafiti fupi nliofanya juu ya ziara mbalimbali za ma Rais Duniani, ya kwamba:

1. Rais mgeni akiwa katika Nchi ya ugenini basi yule mwambata wake mjeshi huwa anarudi nyuma na kupewa mwambata wa Nchi hiyo ya mwenyeji wake hapa naweka kiambatansiho wa ajili ya msisitizo wa hoja. ( Utaona hapa chini Mjeshi wa Zuma yuko nyuma ya Mjeshi wa
Tanzania.
9.jpg


2. Sasa kwa Rais Kagame imekau tofauti sijaona Mjeshi kwakwe awali yeyoye yule. sasa sijajua ni kwa nini?

2-4.jpg



Maswali yangu ni haya!

a) Yule Mjeshi nyuma ana maana gani
b) Kwann Kagame hakua na Mjeshi

NYONGEZA

Kama una uzoefu na Protocal za hizi shughuli tafadhali achia darasa huru.
 
Sidhani kama ni maraisi wote wanakuwa na hao wajeda nyuma.....kama nakumbuka vizuri, viongozi wengi wa Duniani huko siwaoni wakiwa na wajeda nyuma.....Obama alipokuja, Bush, Clinton, na hata yule dogo wa Ufaransa......
 
Back
Top Bottom