Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Bavicha mwenzio huyo Na hizo ndo hoja zenu. Kama hamuelewani nyie Nani mwingine atawaelewa?Inatuhusu nini sisi?
Ukilielewa swali utakuwa huru kuchangia hoja iliyopo jamviniBavicha mwenzio huyo Na hizo ndo hoja zenu. Kama hamuelewani nyie Nani mwingine atawaelewa?
eti kajiambie mwenyewe jukwaa hili mambo ni fire.Mkuu, kiujumla unataka kusema nini hasa? Maana, ni kama umejiambia mwenyewe tu. Tusaidie nasi tuelewe mantiki ya hoja yako Mkuu.
Daaaaah[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bavicha mwenzio huyo Na hizo ndo hoja zenu. Kama hamuelewani nyie Nani mwingine atawaelewa?
Nimeamini uwezo Wa wengi humu uko chini ya kiwango! Unashindwa kuelewa?Kwa uandishi huu wa kibavicha bavicha taifa litapotea.
Yaani mtu katupia viroba vyake na kuandika imaginations za kipombe pombe.