The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Kwahiyo sasa hivi umeacha love to lead the way???Brother Teamo na babu Aspirin last week walitushauri tu-let love lead the way..sijui leo watasemaje juu ya ulinzi wa penzi,am waiting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo sasa hivi umeacha love to lead the way???Brother Teamo na babu Aspirin last week walitushauri tu-let love lead the way..sijui leo watasemaje juu ya ulinzi wa penzi,am waiting
Habari zenu binafsi..........
Ni hivi: Penzi halilindwi! Penzi linajilinda lenyewe, ambaye hajaelewa anifuate huku kitandani nimfafanulie. Aje without.........
mmhh...umeniacha hoi!
Mimi hapa nina shoka, visu, mshale , gobore, manati na nyuki nalinda penzi kwa style hiyo sidhani kama mtu anaweza kusogea
Binafsi siamini kama kuna penzi la kweli kiasi cha kukesha ukililinda....!duhhhhh hii mpya kabisa..
Je huoni wivu??
Mkuu kwenye bluu ni MPENZI MMOJA na sio WAPENZI KIBAO fanya editing basiTF huu ni ulinzi wa nje tuu
Sijui ulinzi wa ndajni ukoje namaanisha emotional side
Je ukilinda nje watu wakikuona nae au wakiona kuwa wewe na yule ni wapendanao na ndani je kuna ukweli katika hilo la nje au una mabomu na mikuki ya nje kuwakimbiwa wezi wa pendo lenu ila kwa ndani kuna element za wapenzi kibao
pesa ndio mlinzi imara.. nakubaliana na wewe kwa 100%
Niwasaidie nini mamito? kulinda penzi? Nshawaambia penzi halilindwi....ebo!Babu wasaidie wajuukuu ..
kulinda penzi..
How do you protect your love ?
Je unalinda vipi upendo(penzi)??
nawasalimu nyote , poleni na kazi za hapa na pale
na majuukumu ya maisha..
Swala la upendo ni kitu kizito sana , ni mara nyingi nimeona hapa jamvini,
tunaongelea swala hili . tunafundishana jinsi ya kupenda na kupendana.
na upendo niuongelea hapa ni wa kati ya mke na mume, Gf na Bf, partners.....etc..
na ulinzi ni uongeleao ni wa ndani"emotional side" pamoja na wa nje...
Je tuki linda penzi hii itasaidia ku imarisha uhusiano kati ya wapendanao au ku
punguza talaka au kutengana ??
asanteeni AD..
Mkuu kwenye bluu ni MPENZI MMOJA na sio WAPENZI KIBAO fanya editing basi
Hebu waambie bana...! A true love will never get stolen...! sasa ulinzi wa nini?Niwasaidie nini mamito? kulinda penzi? Nshawaambia penzi halilindwi....ebo!
Ama sijaelewa au nakushangaa!!
Kama siyo kutafuta BP nini???
Naamini kwenye organic products...Let things run themselves as nature wishes!!
Pesa ndio mlinzi bora zaidi...kosa uone wenzio watakavyokusaidia kumuweka mwenzi wako mjini...
Kiuhalisia mapenzi yanatakiwa kuwa kwenye autopilot mode...
IGWE hata hela kuna kipindi huwa zinaisha sasa ukiwa hauna hela si bora ku-apply hizo lol!!!