Penzi siyo pesa, penzi si size ya mtarimbo, penzi si kukata viuno, penzi si kuvaa shanga...........
Penzi ni kitu kingine kabisa..........
Nimejaribu kuwaelezeni kwa lugha ya kizee hamjanielewa. Hebu msomeni mzee mwenzangu hapa chini, labda mtanielewa zaidi.Niwasaidie nini mamito? kulinda penzi? Nshawaambia penzi halilindwi....ebo!
Ama sijaelewa au nakushangaa!!
Kama siyo kutafuta BP nini???
Naamini kwenye organic products...Let things run themselves as nature wishes!!
afrodenzi naomba nikuulize kitu...!duhhhh eehhh
hapo nimefika kikomo...
hicho kitu kingine haswaaa..... ndicho tinachotaka kujua kutoka kwako...Penzi siyo pesa, penzi si size ya mtarimbo, penzi si kukata viuno, penzi si kuvaa shanga...........
Penzi ni kitu kingine kabisa..........
Msome huyu mwanajamii hapa chini labda utanielewa......, Na hapa tena umeamua kuzungumzia Upendo au Penzi?Value it, Cherish it, Be thankful na vitu kama hivyo je vina saidia ku protect
upendo??
Hebu waambie bana...! A true love will never get stolen...! sasa ulinzi wa nini?
Now you are talkingNitafanya editing baadae ila ngoja niconfirm na Babu kwanza then ndo nitafanya editing
Asante Sana mama mkweAD mie nahisi ukianza kulinda penzi utachanganyikiwa na maisha,
Ni bora kuwa huru na mawazo yako kwanza kujiamini mwenyewe na kumwamini mwenza wako ..pia kumuonyesha kuwa unampenda .
Mungu ndie mlinzi wa yote
Now you are talking
babu kakataa so u have to swallow my words and let love inside you lead the way though not for one gal but for many as u usually do
Hakuna kinachoweza kulinda penzi pesa huweza kulainisha tu lakini unaweza kuwa nayo na wala lisiwe safe...cha msingi ni wewe mwenyewe na mwenzi wako kulindana kwa kupendana kwa dhati.
Sante, umesema ukweli mtupu.Ukianza kuwaza kulinda penzi .....siku zako za kuishi zinaanza kuhesabika..
Habari zenu binafsi..........
Ni hivi: Penzi halilindwi! Penzi linajilinda lenyewe, ambaye hajaelewa anifuate huku kitandani nimfafanulie. Aje without.........
How do you protect your love ?
Je unalinda vipi upendo(penzi)??
nawasalimu nyote , poleni na kazi za hapa na pale
na majuukumu ya maisha..
Swala la upendo ni kitu kizito sana , ni mara nyingi nimeona hapa jamvini,
tunaongelea swala hili . tunafundishana jinsi ya kupenda na kupendana.
na upendo niuongelea hapa ni wa kati ya mke na mume, Gf na Bf, partners.....etc..
na ulinzi ni uongeleao ni wa ndani"emotional side" pamoja na wa nje...
Je tuki linda penzi hii itasaidia ku imarisha uhusiano kati ya wapendanao au ku
punguza talaka au kutengana ??
asanteeni AD..
Penzi ni mfanano wa kihisia wa mioyo miwili ya jinsia tofauti..... Hisia hizo zinapovutana na hatimaye kuungana, hakuna mwenye uwezo wa kutenganisha zaidi ya Mungu mwenyewe kupitia halmashauri ya Kifo........... Sasa kama hapa tunazungumzia kulilinda Penzi, tunamaanisha kulilinda dhidi ya mauti.hicho kitu kingine haswaaa..... ndicho tinachotaka kujua kutoka kwako...
babu shkamoo..
hata mimi sjakuelewa unanishangaa au hujanielewa..
Anyway swali ni kwamba ni viti gani waweza fanya ku linda penzi??
je umenielewa sasa ua la??
Leo umeamka vizuriPenzi ni mfanano wa kihisia wa mioyo miwili ya jinsia tofauti..... Hisia hizo zinapovutana na hatimaye kuungana, hakuna mwenye uwezo wa kutenganisha zaidi ya Mungu mwenyewe kupitia halmashauri ya Kifo........... Sasa kama hapa tunazungumzia kulilinda Penzi, tunamaanisha kulilinda dhidi ya mauti.
Labda kama Afroie anataka tumfundishe namna ya kulinda "penzi la wizi" au "penzi la kutamaniana" au "Penzi la kuoneana huruma" au "Penzi la king'ang'anizi"
AD mie nahisi ukianza kulinda penzi utachanganyikiwa na maisha,
Ni bora kuwa huru na mawazo yako kwanza kujiamini mwenyewe na kumwamini mwenza wako ..pia kumuonyesha kuwa unampenda .
Mungu ndie mlinzi wa yote
Hapa ndipo utaanza kupotea njia.......... Upendo na Penzi ni vitu viwili tofauti kabisa..... Sana!yote upendo na penzi...
Leo nimekunywa chai.Leo umeamka vizuri