Ulinzi wa Rais Samia Marekani upoje?

Umesaidia na kunirahisishia uzi niliokuwa nautengeneza kuhusiana na hilo hilo. Ifikie kipindi usalama wa rais isiwe staha au utashi wa rais aliyepo madarakani.

Ni dharau kubwa, mtu aliyetukana na kudhalilisha taasisi ya urais tena bila kuchukuliwa hatua kabla leo anairambaramba kwa uzembe bila hata check and balance. Shauri Yenu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe royal tour bado inaendelea?
Uligusia matumizi ya bunduki na helikopita enzi za JPM nikakumbusha pia matumizi hayo hayo alikuwa nayo mama na bado ataendelea kuyatumia…
 
Sasa Tz nayo Rais nae ana ulinzi? Tz Rais hana ulinzi ila ana watu wa kuzuia Raia wasimsogelee Rais basi.
ile tabia ya Rais kuongea kwenye roof ya gari ni moja ya ishara inayo tambulisha Rais hana ulinzi ila ana watu wa kuzuia Raia wasimsogelee tu maana ni hatari sana hata Sniper aliekaa mita 1500 anaweza kumtungua

Acha NewYork wawafundishe jinsi ya kulinda viongozi maana ulinzi wa Tz ni bure kabisa
 
Mwambie akupe ulinzi wewe, mambo mengine yanatia kinyaa tu na roho yako mbaya
 
Its total a “BAD IMAGE” taasisi yote ya uraisi na yeye binafsi hili la kukutana na Mange limechafua taswira nzima kwao.

Binafsi nimefedheheka sana na tukio lile.
 
Wale wote walikaguliwa ndio maana wakaruhusiwa kuonana na Rais wetu
 
Wako serious na wanaijua kazi yao ndio maana wskapiga picha wao wenyewe. Ile Ni mbinu ya kiusaslana hivyo acheni kupotosha. Wasiojua
 
Kwani hapo wanakuwa wanapambana na upinzani .. Wapo makini kupambana na upinzani kuliko vitu vya msingi
 
Kwani hata yakimpata yatakayompata wewe au mtanzania wa kawaida ana hasara gani?

Rais John F. Kennedy alipigwa risasi ya kichwa akiwa kwenye gari la wazi, ubongo ukasambaratika wote na kufa papo hapo. Je, raia wa Marekani walipata hasara gani kwa kifo cha Rais wao?

Mwendazake alijifia mwenyewe au aliuawa, hakuna ajuaye, lakini vyovyote iwavyo tumepata hasara gani??

Hata huyu aliyepo sasa hivi akifa hakuna hasara yoyote, maisha yataendelea tu.
 
Kwa hiyo walinzi wanawake wako "chini ya viwango"?!!

Acha dharau ndugu "mjeda" [emoji1787]
Sio dharau uwo ndo ukweli nenda 92 kama utakuta komandoo mwanamke askari ni mwanaume tuu wanawake wapo kwa ajiri ya molali jeshini mwanamke mwanamke tuu...
 
...Sio suala la roho mbayaa Mkuu. Katika Watanzania wote waliokuwa pale Mange aliona mpe Mlinzi wa raisi simu yake apigwe picha akiwa na raisi?
Kwa nini?
Si angeweza kumpa yoyote aliyekuwa palr?
Yaani bodyguard wa raisi apoteze concetration ya kumlinda raisi ampigie mtu picha?
Kila mtu akifanya hivyo kwa kila bodyguard kutakuwa na ulinzi wa raisi kweli?
Kuna uwezekano Mange anafahamiana na yule Bodyguard lakini haikupaswa kuwa pale hata Bodyguard akiwa kazini kumlinda raisi wetu.....
Hakuna suala la Roho Mbaya hapo. Ni Kanuni tu zinapaswa kufuatwa mkuu.
 
I like that so powerfull..
 
Sio dharau uwo ndo ukweli nenda 92 kama utakuta komandoo mwanamke askari ni mwanaume tuu wanawake wapo kwa ajiri ya molali jeshini mwanamke mwanamke tuu...
Kwani ni lazima mlinzi wa Rais awe komandoo wa jeshi bwana mjeda?!!

Kwa hiyo na uaskari wako hapo kambini unaweza "kuwatikisa kimapambano" hao dada Walinzi wa mh.Rais wetu kipenzi?!!😲😲 🤣🤣
 
Kwani mh.Rais hana Walinzi wengine nyuma ya huyo bodyguard?!!!

Huyo bodyguard anaitwa(ADC)...mpambe wa Rais...pamoja na kumsaidia mambo madogodogo....we huoni akimfuta hata JASHO?!!
Umeshawahi kuwaona wengine wakimfanyia hayo?!!!

So ishu ya Mange mnaikuza sana.....

#SiempreJMT
 
😲😲😲😲🤣🤣

Haya jifurahishe ndugu....
 
Ulinzi wa Rais awapo nje ya makazi aliyofikia ni wa nchi husika akiwa ndani ya hotel/makazi ni jukumu la walinzi wa Rais. Hivyo akiwa hotelini au ubalozini ni jukumu la team ya Rais kumlinda
Umesoma vizuri alichokuandika mtoa mada? Ametoa mfano ambao unapingana na ulichokisema.
 
Tafadhali aisee! Sehemu ambako mass shootings zinatokea mara kwa mara? Sehemu ambako inasemekana ndege zilitumika kama silaha za maangamizi?
 
Kweli mkuu sifa mojawapo ya walinda usalama huwa wana suspect kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…