M Mwalimu wa Zamu Tz JF-Expert Member Joined Jan 2, 2021 Posts 1,053 Reaction score 2,757 Jun 26, 2022 #21 Sergi Pascal wawa na Nyoni&kapombe 19/20
Mwambwaro JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,309 Reaction score 3,522 Jun 26, 2022 #22 Hao n wacheza rafu tu wew bado hujajua mpira labda ungenitajia wale viungo wakabaji waliokua wanacheza nao
Hao n wacheza rafu tu wew bado hujajua mpira labda ungenitajia wale viungo wakabaji waliokua wanacheza nao
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Jun 26, 2022 #23 Hawana lolote hao. Kwanza wakati wapo Messi ndio kawafunga madrid sana, wanajua kumchezea rafu tu.. Muulize ramos kuhusu costa atakwambia habari zake.. Ramos anaonea wanyonge tu,akijur aki na atletico madrid shughuli anaiona
Hawana lolote hao. Kwanza wakati wapo Messi ndio kawafunga madrid sana, wanajua kumchezea rafu tu.. Muulize ramos kuhusu costa atakwambia habari zake.. Ramos anaonea wanyonge tu,akijur aki na atletico madrid shughuli anaiona
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Jun 26, 2022 #24 Mleta mada ni kijana aliezaliwa mwishoni mwa 90's hulaumiki sana. Umewahi kuona Nesta na Cannavaro wakiwa pamoja? Na je Maldini na Baresi?
Mleta mada ni kijana aliezaliwa mwishoni mwa 90's hulaumiki sana. Umewahi kuona Nesta na Cannavaro wakiwa pamoja? Na je Maldini na Baresi?
Mbabani JF-Expert Member Joined Jun 20, 2022 Posts 1,676 Reaction score 4,693 Jun 26, 2022 #25 dos.2020 said: Mleta mada ni kijana aliezaliwa mwishoni mwa 90's hulaumiki sana. Umewahi kuona Nesta na Cannavaro wakiwa pamoja? Na je Maldini na Baresi? Click to expand... Kila zama na watu wake.
dos.2020 said: Mleta mada ni kijana aliezaliwa mwishoni mwa 90's hulaumiki sana. Umewahi kuona Nesta na Cannavaro wakiwa pamoja? Na je Maldini na Baresi? Click to expand... Kila zama na watu wake.
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 7,938 Reaction score 17,729 Jun 26, 2022 #26 Messi ndio kawaonea sana Ramos na pepe kwa pamoja Kuna kipindi unaona kabisa Ramos anakosa amani messi akianza zile zake one two, one two Kila aliejimwambafai alikiona cha moto Muulize mzee Buffon, alipigiwa kombora kama za mzee Putin
Messi ndio kawaonea sana Ramos na pepe kwa pamoja Kuna kipindi unaona kabisa Ramos anakosa amani messi akianza zile zake one two, one two Kila aliejimwambafai alikiona cha moto Muulize mzee Buffon, alipigiwa kombora kama za mzee Putin
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Jun 26, 2022 #27 Mbabani said: Kila zama na watu wake. Click to expand... hao akina Ramos sifa zao kuu ni kwenye kucheza rafu, wakati Baresi na Maldini walikua wanakunyang'anya mpira na chenga wanakupiga.
Mbabani said: Kila zama na watu wake. Click to expand... hao akina Ramos sifa zao kuu ni kwenye kucheza rafu, wakati Baresi na Maldini walikua wanakunyang'anya mpira na chenga wanakupiga.
KweliKwanza JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,520 Reaction score 2,816 Jun 26, 2022 #28 Mbna ligi ya uko walikuwa wanapigwa tu, barca si ndo aliwachapa 5 ama