Ulinzi wa Sergio Ramos na Pepe ni ulinzi hatari zaidi kuwahi kutokea kwenye soka

Ulinzi wa Sergio Ramos na Pepe ni ulinzi hatari zaidi kuwahi kutokea kwenye soka

Hao n wacheza rafu tu wew bado hujajua mpira labda ungenitajia wale viungo wakabaji waliokua wanacheza nao
 
Hawana lolote hao.
Kwanza wakati wapo Messi ndio kawafunga madrid sana, wanajua kumchezea rafu tu..

Muulize ramos kuhusu costa atakwambia habari zake..
Ramos anaonea wanyonge tu,akijur aki na atletico madrid shughuli anaiona
 
Messi ndio kawaonea sana Ramos na pepe kwa pamoja

Kuna kipindi unaona kabisa Ramos anakosa amani messi akianza zile zake one two, one two

Kila aliejimwambafai alikiona cha moto

Muulize mzee Buffon, alipigiwa kombora kama za mzee Putin
 
Mbna ligi ya uko walikuwa wanapigwa tu, barca si ndo aliwachapa 5 ama
 
Back
Top Bottom