Ulinzi wa Trump umefanyiwa mabadiliko?

Ulinzi wa Trump umefanyiwa mabadiliko?

Ukitazama picha pale jukwaani kuna mmama alitaka kimbia
Baadae badala ya kumkinga Trump, Trump ndo anaonekana anamkinga yeye.

Pale kwenye gari wanaume hawapapariki, wale wamama watatu kila mtu anazunguka kama mpira wa kona.

Kwa ufupi 50/50 haiwezekani.
Na sielewi kwanini sisi tumeikomalia badala ya kuwekeza katika uwezo wa mtu.

Kingine ni kuwa hawakuwahi tarajia tukio kama lile litokee, kuna watu walianza kazi na kustaafu bila kukutwa na lile jambo.

Ikitokea Tz ndo tutajua uhalisia
 
Yule dogo ni heri, Trump inabidi aende kabda hajaleta madhara makubwa ulimwenguni. Mark my words
 
Fcuk Around and Find Out’ 🤣.
IMG-20240717-WA0005.jpg
 
Sijui maana sifuatilii lakini tu niliwahi kuona mjadala unaozungumzia wanawake na kujiunga jeshi US na ndiyo ilitoka statement kwamba siku hizi wapo katika kila fani ya kijeshi.
Haya, ukipata taarifa kuwa wapo wanawake kwenye Navy SEALs usisahau kuja kutujulisha hapa.
 
Ukitazama picha pale jukwaani kuna mmama alitaka kimbia
Baadae badala ya kumkinga Trump, Trump ndo anaonekana anamkinga yeye.

Pale kwenye gari wanaume hawapapariki, wale wamama watatu kila mtu anazunguka kama mpira wa kona.

Kwa ufupi 50/50 haiwezekani.
Na sielewi kwanini sisi tumeikomalia badala ya kuwekeza katika uwezo wa mtu.

Kingine ni kuwa hawakuwahi tarajia tukio kama lile litokee, kuna watu walianza kazi na kustaafu bila kukutwa na lile jambo.

Ikitokea Tz ndo tutajua uhalisia
Kuna uyo mmoja utazan yupo kwenye movie ana geuza geuza shingo na Gun yake kama kuchanganyikiwa
 
Haya, ukipata taarifa kuwa wapo wanawake kwenye Navy SEALs usisahau kuja kutujulisha hapa.
As of now, there have been a few women who have successfully completed certain parts of the training pipeline for Navy SEALs, but no woman has yet completed the full SEAL training to become a Navy SEAL. The training for Navy SEALs is extremely rigorous, both physically and mentally, and historically, it has been male-dominated.

However, in 2016, the U.S. military opened all combat roles to women, including the Navy SEALs, so it is possible that in the future, women will successfully complete the training and become Navy SEALs.
 
🙅‍♂️
 
Back
Top Bottom