Rais Trump 2025 hutaki kampige risasi wakuonyeshe showIla dunia hii imeisha na hatuchekani kabisa, yani Trump ndo mtu mwenye ushawish zaid nchini marekani kias cha kurud ikulu tena bila ubishi kilaini kama hivi...
Daaah tusimdharau sana Mama Abdul🤣
Hakika Mkuu, Kilanja Kamaliza Shule hatimaye.Marekani imebakia jina tu.
Sasa hivi wanalia lia tu fouls za China.
hakuna kiumbe anae stage kuuuwawa kwa 'kukosewa risasi'. Ni bahati yake tu siku yake ilikuwa haijafika, na ndiyo yule mjamaa mwengine akauwawa kwa hizo risasi.Nahisi kama ile incident ilikuwa staged na kina tirumpu wenyewe
wa Marekani? Wapo katika almost kila fani ya kijeshi na ulinzi.Hivi kuna special forces wanawake?
Kwenye jeshi la Marekani kuna Navy SEALs wangapi?wa Marekani? Wapo katika almost kila fani ya kijeshi na ulinzi.
Marekani sio Bongo kwenu, mnateka na kusingizia watu wamejitekaNahisi kama ile incident ilikuwa staged na kina tirumpu wenyewe
Fcuk Around and Find Out’ 🤣.
DuhWanawake jeshini kwenye mafunzo mara nyingi wanakuwa favoured sana. Hawafanyi effective kama Wanaume. Hii ni kutokana na Biological factors.
Na Tanzania wanajeshi wakike wengi, wanapanda vyeo kutokana na ujuzi katikati ya Miguu.
Sijui maana sifuatilii lakini tu niliwahi kuona mjadala unaozungumzia wanawake na kujiunga jeshi US na ndiyo ilitoka statement kwamba siku hizi wapo katika kila fani ya kijeshi.Kwenye jeshi la Marekani kuna Navy SEALs wangapi?
Haya, ukipata taarifa kuwa wapo wanawake kwenye Navy SEALs usisahau kuja kutujulisha hapa.Sijui maana sifuatilii lakini tu niliwahi kuona mjadala unaozungumzia wanawake na kujiunga jeshi US na ndiyo ilitoka statement kwamba siku hizi wapo katika kila fani ya kijeshi.
Kuna uyo mmoja utazan yupo kwenye movie ana geuza geuza shingo na Gun yake kama kuchanganyikiwaUkitazama picha pale jukwaani kuna mmama alitaka kimbia
Baadae badala ya kumkinga Trump, Trump ndo anaonekana anamkinga yeye.
Pale kwenye gari wanaume hawapapariki, wale wamama watatu kila mtu anazunguka kama mpira wa kona.
Kwa ufupi 50/50 haiwezekani.
Na sielewi kwanini sisi tumeikomalia badala ya kuwekeza katika uwezo wa mtu.
Kingine ni kuwa hawakuwahi tarajia tukio kama lile litokee, kuna watu walianza kazi na kustaafu bila kukutwa na lile jambo.
Ikitokea Tz ndo tutajua uhalisia
As of now, there have been a few women who have successfully completed certain parts of the training pipeline for Navy SEALs, but no woman has yet completed the full SEAL training to become a Navy SEAL. The training for Navy SEALs is extremely rigorous, both physically and mentally, and historically, it has been male-dominated.Haya, ukipata taarifa kuwa wapo wanawake kwenye Navy SEALs usisahau kuja kutujulisha hapa.
🙅♂️As of now, there have been a few women who have successfully completed certain parts of the training pipeline for Navy SEALs, but no woman has yet completed the full SEAL training to become a Navy SEAL. The training for Navy SEALs is extremely rigorous, both physically and mentally, and historically, it has been male-dominated.
However, in 2016, the U.S. military opened all combat roles to women, including the Navy SEALs, so it is possible that in the future, women will successfully complete the training and become Navy SEALs.
Asingeweza hata angekuwa katulia.😀Ana bahati, ilikuwa aendezake sema Dogo alikuwa na papara tu.
JFK alifumuliwa UbongoAsingeweza hata angekuwa katulia.😀