Ulinzi wa TV pamoja na Friji

Kwa umeme wa tz sijui kama ina umuhimu hii kifaa maana umeme ukiwa mdogo inajikata kwa hiyo vitu vitaaribika kwenye friji . Ikifika saa 12 jioni hadi saa 5 usiku umeme unakuwa mdogo halafu siku za wikiendi kama jumapili kuanzia asubuhi hadi saa tano usiku umeme ni kidogo hivyo vitu vilivyopo kwenye friji lazima viaribike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…