Ulinzi wa watu mashuhuri

Ulinzi wa watu mashuhuri

Bado sijapata jibu kwanini mayweather ni bondia lakini nayeye analindwa na baunsa.

Sheria ya majuu hiyo ukiwa mtu maarafu na mwenyekipato flani lazima na walinzi, serikali haikuruhusu kujiweka rehani kwa namna yeyote ile.
 
Hivi sisi wenye vitambi kama sifa nyingine zote tunazo bado tunastahili kuwa walinzi wa hawa watu mashuhuri?
Kitambi sio kikwazo bali uwe na uwezo wa kubeba mwili wako mwenyewe mfano ukienda kwenye madojo( shule au sehemu wanapofanyia mazoezi ya karate) utakuja kuona walimu wa ngazi za juu(sensei) wengi wana vitambi na ni watu wa zima ila shuguli yao ni hatari hawashikiki ivyo cha msingi ni kuadopt mazoezk na kua na uwezo wa kuhimili mwili wakp mwenyewe
 
wanatakiwa wawe makini sana maana ho hawana ujuzi mfano.enviromental survey,,,,,,,,risks analysing...target neutraization without affecting sorrounding enviroment!!!!,,,,flexibility and adoptiblity kwa iyo bado kuna haja ya kutafuta watu maalum kwa ajili ya kazi iyo

Hayo yote yanaangukia kwenye kitu katika lugha ya kiroho imatwa machale. Kama uko na hii kitu hata wakija battalion nzima na zana ya wavunja tofali kwa kichwa hawafui dafu katika uhai wako.
 
Wengi wao hawana uwezo wa, to afford bodygurads... ndiyo maana wanaishia kuchukua body builders...

Cc: mahondaw
 
Nimejifunza kitu kipya mkuu, bondia hawezi kuwa mlinzi binafsi au mlinzi kwa mtu mwingine...si ndio?
Katika uwanja wa masumbwi(boxing) bondia(boxer) katika sanaa yao ni mtu aliyefundishwa kupiga( to hit),,,kushambulia(to attack) kwa ngumi tu na kukwepa( punch dodging) hakuna kutumia mateke wala nini hii ni falsafa ya masumbwi(boxing) ila ukija sasa ivi katika ulimwengu mpya( modern boxing) bondia anaongezewa ujuzi wa mapambano ya mtaani(street fighting) ili kumwezesha kujilinda katika mazingira yoyote ingawa ni gym chache sana zinafanya ivyo..

sasa sio bondia au karateka( mcheza karate) anaweza kua mlinzi wa watu mashuhuri la hasha mpaka apatiwe mafunzo maalumu ya kua minzi(bodyguard) aliyetukuka
 
Hayo yote yanaangukia kwenye kitu katika lugha ya kiroho imatwa machale. Kama uko na hii kitu hata wakija battalion nzima na zana ya wavunja tofali kwa kichwa hawafui dafu katika uhai wako.
hahahahahaha mkuu umenifurahisha sana
 
Kitambi sio kikwazo bali uwe na uwezo wa kubeba mwili wako mwenyewe mfano ukienda kwenye madojo( shule au sehemu wanapofanyia mazoezi ya karate) utakuja kuona walimu wa ngazi za juu(sensei) wengi wana vitambi na ni watu wa zima ila shuguli yao ni hatari hawashikiki ivyo cha msingi ni kuadopt mazoezk na kua na uwezo wa kuhimili mwili wakp mwenyewe
Ndo inasemekana eti vitambi vyetu vinatupunguzia uwezo wa kubeba miili yetu.
 
Katika uwanja wa masumbwi(boxing) bondia(boxer) katika sanaa yao ni mtu aliyefundishwa kupiga( to hit),,,kushambulia(to attack) kwa ngumi tu na kukwepa( punch dodging) hakuna kutumia mateke wala nini hii ni falsafa ya masumbwi(boxing) ila ukija sasa ivi katika ulimwengu mpya( modern boxing) bondia anaongezewa ujuzi wa mapambano ya mtaani(street fighting) ili kumwezesha kujilinda katika mazingira yoyote ingawa ni gym chache sana zinafanya ivyo..

sasa sio bondia au karateka( mcheza karate) anaweza kua mlinzi wa watu mashuhuri la hasha mpaka apatiwe mafunzo maalumu ya kua minzi(bodyguard) aliyetukuka
Mafunzo hayo yanapatikana wapi?
 
Kitambi ni matokeo ya uzembe katika kufanya mazoezi hil halina ubishi. Accumulation of fat mwilini mazoezi yana puuziwa na ukiona mlinzi anakitambi jua utimamu umepungua na anapewa kiburi na anaye mlinda. Wakubwa wake wa kazi wanamuogofya kiana, lakini hayo yote ni kwa gharama ya mlindwa. Siku ya siku ikitokea ujuzi unatakiwa utumike kwa mwenye kitambi jua kasi na pumzi vitamletea shida na adui yeyote makini atatumia huu udhaifu kama moja ya kigezo katika mipango yake ya hujuma.

Kitambi sio kikwazo bali uwe na uwezo wa kubeba mwili wako mwenyewe mfano ukienda kwenye madojo( shule au sehemu wanapofanyia mazoezi ya karate) utakuja kuona walimu wa ngazi za juu(sensei) wengi wana vitambi na ni watu wa zima ila shuguli yao ni hatari hawashikiki ivyo cha msingi ni kuadopt mazoezk na kua na uwezo wa kuhimili mwili wakp mwenyewe
 
Kitambi ni matokeo ya uzembe katika kufanya mazoezi hil halina ubishi. Accumulation of fat mwilini mazoezi yana puuziwa na ukiona mlinzi anakitambi jua utimamu umepungua na anapewa kiburi na anaye mlinda wakubwa wake wa kazi wanamuogofya kiana , lakini hayo yote ni kwa gharama ya mlindwa. Siku ya siku ikitokea ujuzi unatakiwa utumike kwa mwenye kitambi jua kasi pumzi vitamletea shida nq adui yeyote makini atatumia huu udhaifu kama moja ya kigezo katika mipango yake ya hujuma.
sio vitambi vyote ni accumulation of fat layers and farcias vingine ni muscles na ngozi inakua very lean mfano ushawaona wanyanyua vitu vizito na wenye nguvu( strong and power lifters) wengi wnavitambi ila si vya mafuta ni muscles zile sema tumbo ni kubwa na ukibonyeza akibonyezeki..
pia sawa vingine ni uzembe vinahitaji mazoezi
 
(

Vyovyote vile vinaondoa uyumbulifu na kasi, (agility and speed.)
 
Ghafla tu unakuta wameingiwa na utahira na upofu wote wanauana mnyewe kwa mnyewe
hahahahaha sio katika kizazi iki mkuu chenye dhambi na laana iyo miujiza ilikua enzi izo watu wanaishi washazoea ata kuona malika ila kwa kizazi ichi hamna kitu mzee
 
Back
Top Bottom