Nnyindojihadini
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 643
- 437
Bado sijapata jibu kwanini mayweather ni bondia lakini nayeye analindwa na baunsa.
Kitambi sio kikwazo bali uwe na uwezo wa kubeba mwili wako mwenyewe mfano ukienda kwenye madojo( shule au sehemu wanapofanyia mazoezi ya karate) utakuja kuona walimu wa ngazi za juu(sensei) wengi wana vitambi na ni watu wa zima ila shuguli yao ni hatari hawashikiki ivyo cha msingi ni kuadopt mazoezk na kua na uwezo wa kuhimili mwili wakp mwenyeweHivi sisi wenye vitambi kama sifa nyingine zote tunazo bado tunastahili kuwa walinzi wa hawa watu mashuhuri?
wanatakiwa wawe makini sana maana ho hawana ujuzi mfano.enviromental survey,,,,,,,,risks analysing...target neutraization without affecting sorrounding enviroment!!!!,,,,flexibility and adoptiblity kwa iyo bado kuna haja ya kutafuta watu maalum kwa ajili ya kazi iyo
wanatakiwa wawe makini sana maana ho hawana ujuzi mfano.enviromental survey,,,,,,,,risks analysing...target neutraization without affecting sorrounding enviroment!!!!,,,,flexibility and adoptiblity kwa iyo bado kuna haja ya kutafuta watu maalum kwa ajili ya kazi iyo
Katika uwanja wa masumbwi(boxing) bondia(boxer) katika sanaa yao ni mtu aliyefundishwa kupiga( to hit),,,kushambulia(to attack) kwa ngumi tu na kukwepa( punch dodging) hakuna kutumia mateke wala nini hii ni falsafa ya masumbwi(boxing) ila ukija sasa ivi katika ulimwengu mpya( modern boxing) bondia anaongezewa ujuzi wa mapambano ya mtaani(street fighting) ili kumwezesha kujilinda katika mazingira yoyote ingawa ni gym chache sana zinafanya ivyo..Nimejifunza kitu kipya mkuu, bondia hawezi kuwa mlinzi binafsi au mlinzi kwa mtu mwingine...si ndio?
Ndo inasemekana eti vitambi vyetu vinatupunguzia uwezo wa kubeba miili yetu.Kitambi sio kikwazo bali uwe na uwezo wa kubeba mwili wako mwenyewe mfano ukienda kwenye madojo( shule au sehemu wanapofanyia mazoezi ya karate) utakuja kuona walimu wa ngazi za juu(sensei) wengi wana vitambi na ni watu wa zima ila shuguli yao ni hatari hawashikiki ivyo cha msingi ni kuadopt mazoezk na kua na uwezo wa kuhimili mwili wakp mwenyewe
Mafunzo hayo yanapatikana wapi?Katika uwanja wa masumbwi(boxing) bondia(boxer) katika sanaa yao ni mtu aliyefundishwa kupiga( to hit),,,kushambulia(to attack) kwa ngumi tu na kukwepa( punch dodging) hakuna kutumia mateke wala nini hii ni falsafa ya masumbwi(boxing) ila ukija sasa ivi katika ulimwengu mpya( modern boxing) bondia anaongezewa ujuzi wa mapambano ya mtaani(street fighting) ili kumwezesha kujilinda katika mazingira yoyote ingawa ni gym chache sana zinafanya ivyo..
sasa sio bondia au karateka( mcheza karate) anaweza kua mlinzi wa watu mashuhuri la hasha mpaka apatiwe mafunzo maalumu ya kua minzi(bodyguard) aliyetukuka
Kitambi sio kikwazo bali uwe na uwezo wa kubeba mwili wako mwenyewe mfano ukienda kwenye madojo( shule au sehemu wanapofanyia mazoezi ya karate) utakuja kuona walimu wa ngazi za juu(sensei) wengi wana vitambi na ni watu wa zima ila shuguli yao ni hatari hawashikiki ivyo cha msingi ni kuadopt mazoezk na kua na uwezo wa kuhimili mwili wakp mwenyewe
hahahahahaha mkuu umenifurahisha sana
hahahahahaha mkuu umenifurahisha sana
sio vitambi vyote ni accumulation of fat layers and farcias vingine ni muscles na ngozi inakua very lean mfano ushawaona wanyanyua vitu vizito na wenye nguvu( strong and power lifters) wengi wnavitambi ila si vya mafuta ni muscles zile sema tumbo ni kubwa na ukibonyeza akibonyezeki..Kitambi ni matokeo ya uzembe katika kufanya mazoezi hil halina ubishi. Accumulation of fat mwilini mazoezi yana puuziwa na ukiona mlinzi anakitambi jua utimamu umepungua na anapewa kiburi na anaye mlinda wakubwa wake wa kazi wanamuogofya kiana , lakini hayo yote ni kwa gharama ya mlindwa. Siku ya siku ikitokea ujuzi unatakiwa utumike kwa mwenye kitambi jua kasi pumzi vitamletea shida nq adui yeyote makini atatumia huu udhaifu kama moja ya kigezo katika mipango yake ya hujuma.
sio vitambi vyote ni accumulation of fat layers and farcias vingine ni muscles na ngozi inakua very lean mfano ushawaona wanyanyua vitu vizito na wenye nguvu( strong and power lifters) wengi wnavitambi ila si vya mafuta ni muscles zile sema tumbo ni kubwa na ukibonyeza akibonyezeki..
pia sawa vingine ni uzembe vinahitaji mazoezi
hahahahaha sio katika kizazi iki mkuu chenye dhambi na laana iyo miujiza ilikua enzi izo watu wanaishi washazoea ata kuona malika ila kwa kizazi ichi hamna kitu mzeeGhafla tu unakuta wameingiwa na utahira na upofu wote wanauana mnyewe kwa mnyewe
Sijasema ni ugonjwa lakiniKitambi sio ugonjwa lakini...
yanapitaka sehemu yanapopatikana!
hahahahaha sio katika kizazi iki mkuu chenye dhambi na laana iyo miujiza ilikua enzi izo watu wanaishi washazoea ata kuona malika ila kwa kizazi ichi hamna kitu mzee
Hapo mwanzo kabla ya hii mada, nilikuwa nikidhani kila mcheza kareti anaweza kuwa mlinzi binafsi..Pia enzi hizo baadhi ya misikiti ile sala ya alfajiri yakitolewa bure kwa aliye hitaji.