Ulinzi wa watu mashuhuri

Hapo mwanzo kabla ya hii mada, nilikuwa nikidhani kila mcheza kareti anaweza kuwa mlinzi binafsi..

Obviously ni mcheza kareti kwa hiyo ni mchezaji. Michezo ya jumuiya ya madolla kareti ni mojawapo. Hapa kinacho amua ni dhumuni la kuifanya hiyo kareti na ni muhumi ikachanganywa na disciplines nyingine kama unataka ikusaidie ulinzi binafsi. Upinde wenye mishale ya sumu ya mamba na fimbo ni zana muhimu zinazoendana na karate kwa ajili ya ulinzi binafsi
 
Hapo mwanzo kabla ya hii mada, nilikuwa nikidhani kila mcheza kareti anaweza kuwa mlinzi binafsi..
Hapana mzee icho ni kitengo na kina mafunzo ingawa karate inaweza kua moja ya msaada kwa nchi za wenzetu taasisi binfasi ambazo zina academy za kufindisha private bodyguards na pia kuna mashindano ya V.I.P protections ingawa na zenyewe zina udhaifu kama ukikumbuka kisa cha kupigwa risasi ndugu wa raisi wa marekani JF Kenedy baada ya kuajiri walinzi binafsi kumbe kuna baadhi ya ujuzi walikosa unaweza enda youtube ukajionee makosa yaliyofanyika
 
Sasa kwa hawa walinzi wa VIPs vitambi vyao si ni vile vya nyama uzembe?
 
Shukrani sana.. Na hii ni moja kati ya faida ya kuwa jf
 
Hao walinzi tayari walishakuwa mamluki wa makosa ya kujifanyiza ili lengo litimizwe.
 
Watu wana mitazamo hasi kabisa,wanajua bodyguard lazima awe mnyanyua vyuma kono gogo fua jumba ila mtu akiwa kama MX CARTER basi hafai kuwa mlinzi wa watu maarufu.
 
Watu wana mitazamo hasi kabisa,wanajua bodyguard lazima awe mnyanyua vyuma kono gogo fua jumba ila mtu akiwa kama MX CARTER basi hafai kuwa mlinzi wa watu maarufu.
hahaha kono gogo fua jumba...hao ni wauza surazee na ndo wa kwanza kukimbia kunatukio moja walikodiwa na tajiri mmoja ivi ili wakasimamie eneo ambalo ni la wananchi sema tajiri iubabe kalichukua wazee wamefika pale wamevimba kama vifaru vifua kama tofali bas kumbe wanakijiji walijipanga na silaha za jadi zilipigwa mishale hapo mabaunsa wote mbio hahahaha wengine wameingia chini ya gari yan shida tupu
 
Bado sijapata jibu kwanini mayweather ni bondia lakini nayeye analindwa na baunsa.
Ulingoni huwa anapambana na mtu mmoja tena kuna sheria za mchezo, lakini katika uvamizi wa kumdhuru mtu hakuna idadi wala sheria, hivyo ni muhimu kuwa na tahadhari kwa kutembea na mabaunsa.
 
Nakumbuka hilo tukio lilionyeshwa ITV,aliyekodi mabaunsa anaitwa CHACHA,mabaunsa walipigwa mapanga balaa!!
 
Mimi ninachoshangaa walinzi wote wa watu maarufu wana vitambi ama ni mabaunsa.

Huwa najiuliza labda ni sheria uwe na mwili jumba ili iwe cover nzuri kwa unayemlinda,but kiwepesi hii sio maana hata kukimbia ni tatizo.
 
Sawa baunsa tumekusoma
 
Muhimu kuchukua tahadhari walimu wa self defense wako wasanii. Ukisikia mwalimu anatamka neno mashwati juu huyo tapeli, alienda akajifunza mafunzo ya halaiki na sarakazi na tuteteke twa kubangaiiza eti naye ni master Abdallah, mbullah!!!
 
Kwaiyo unataka kusema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…