NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Ungejuliza ulianza kufanya mapenzi na kumwaga shahawa lini!!?Leo tupige story kidogo, siyo muda wote kuwa serious sana.
Mimi nilioa nikiwa na umri wa miaka 27 nikajaaliwa kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 28, hiyo ilikuwa 2011, hadi leo nipo kwenye ndoa, nina watoto wanne Mwenyezi Mungu anasaidia tunaishi kwa amani life linasonga.
Wewe je? Ulioa/kuolewa ukiwa na umri gani?
Huyo uliemwagia Kwa mara ya kwanza ndio mkeo was ndoa huyo ulienae no WA ubwabwa tu!!
Kumbuka ulianzia wapi huko ndio kuoa!!