Uliomba mkopo? Soma hapa..

Uliomba mkopo? Soma hapa..

Naona website yao ipo down kwa sasa......ndio wanahangaika kuweka links?
 
yaani hapa nimefungua page ya HESLB ni mwendo wa ku refresh tu
 
Tusirushane roho wakuu tufanye uchunguzi na kutumia busara kama wana jukwaa kutoa habari za kweli kwa sababu ni wajibu wetu kujenga imani kwa wananchi wenzetu kuhusu habari tunazozitoa ni za kweli.
 
wewe mtoa mada huyo ndugu yako anafanya kazi gani hapo HESLB?? isije kua nj mfagiaji,
umeshanijazia jazba wacha nienfe kule jocks nikapunguze stress
 
wewe mtoa mada huyo ndugu yako anafanya kazi gani hapo HESLB?? isije kua nj mfagiaji,
umeshanijazia jazba wacha nienfe kule jocks nikapunguze stress

Punguza jazba kaka,kwani haujawazoea? Pengine aliambiwa yanaweza toka siku yoyote kuanzia tar 3,yeye akanukuu vibaya. Ndo walewale wa tcu hawa.
 
wewe mtoa mada huyo ndugu yako anafanya kazi gani hapo HESLB?? isije kua nj mfagiaji,
umeshanijazia jazba wacha nienfe kule jocks nikapunguze stress

teh teh kaka naona una hasira kwelikweli?
 
Ndo Tatizo La Wabongo Wengi,huwa Wanaropoka 2 Hata Bila Ushahidi As Longa As Kaskia.kunajamaa Pia Kaambiwa Kafa journalist wa3 Yeye Kaja Ku2ambia Hata Bila Reserch Mwishon 2memcheka Coz Sis 2likwsha Fahamu!.reason B4 U Lip!
 
Ndo Tatizo La Wabongo Wengi,huwa Wanaropoka 2 Hata Bila Ushahidi As Longa As Waskia.kunajamaa Pia Kaambiwa Wamekufa journalists wa3 Iringa Yeye Kaja Ku2ambia Hata Bila Reserch Mwishon 2memcheka Coz Sis 2likwsha Fahamu Kwamba Kafa M1 tu!.reason B4 U Lip!
 
wanaoishi kwa matumaini na pressure za kujifariji utawajua tu,,HESLB mpaka tarehe next week
 
je tunaweza kuyaona wap hayo majina ya watu waliopata mikopo
 
Back
Top Bottom