Naona website yao ipo down kwa sasa......ndio wanahangaika kuweka links?
kuna muda ilikuwa inagoma kufunguka.....lakini sasa imefunguka ila bado 'bila bila'!mbona kwangu inapiga mzigo kama jana vile.
kuna muda ilikuwa inagoma kufunguka.....lakini sasa imefunguka ila badi 'bila bila'!
wewe mtoa mada huyo ndugu yako anafanya kazi gani hapo HESLB?? isije kua nj mfagiaji,
umeshanijazia jazba wacha nienfe kule jocks nikapunguze stress
Punguza jazba kaka,kwani haujawazoea? Pengine aliambiwa yanaweza toka siku yoyote kuanzia tar 3,yeye akanukuu vibaya. Ndo walewale wa tcu hawa.
wewe mtoa mada huyo ndugu yako anafanya kazi gani hapo HESLB?? isije kua nj mfagiaji,
umeshanijazia jazba wacha nienfe kule jocks nikapunguze stress
wanaoishi kwa matumaini na pressure za kujifariji utawajua tu,,HESLB mpaka tarehe next week