Math. 24:14 Na hii habari njema ya Ufalme itahubiriwa ktk Dunia yote inayokaliwa ili kuwa USHAHIDI kwa mataifa yote, na ndipo ule mwisho utakapo kuja. Lengo la Mungu ni kukusanya wanadamu wanyofu kutoka huko kwenye mifumo ya kijamii ambayo haiwapi uhuru wa kumjua Mungu wa Kweli na Mafundisho yake ya kweli (Biblia).
Hagai 2:7 Nami nitayatikisa Mataifa yote, vitu vya thamani vya mataifa vitaingia nyumba hii. Ufunuo 18:4 Tokeni kwake ninyi watu wangu, ikiwa hamtaki kupokea sehemu ya mapigo yake.
Maswali ninayotaka mtafalari ni haya:
1. Unakumbuka SOVIET UNION? je ulipata jua kuwa ilikuwa hairuhusu Ukiristo kama ulivyoruhusiwa nchi za Magharibi? Unakumbuka ilivyosambaratika? kwa sasa Putin anafanya shingo NGUMU, tuzifuatilie taarifa zake kwa karibu.
2. Unajua jinsi Ukiristo na Biblia vinavyopigwa vita katika Nchi za Kiislamu hususan zile za Kiarabu? Unakumbuka Arab Spring ilivyosababisha Waislam wengi kuhama nchi zao, vipi kuhusu YouTube na internet vinavyowasaidia Waislam wa nchi hizo kufikiwa na ujumbe wa Biblia? Mwana Mfalme wa Saudi Arabia inaonekana ameisha upata ukweli kwani Kuna Sera nyingi anabadili ambazo zitaleta uhuru wa kuabudu. Maayatolah wa Irani Bado Wana shingo ngumu, ndiyo maana Watoto wa kike wakaamdamana kukataa HIJABU
3. China kwa kiasi kikubwa hairuhusu Biblia kama ilivyo katika Nchi nyingine. Unajua namna Sera yao ya kupeleka wananchi wao kufanya kazi ng'ambo ilivyosaidia waujue Ukiristo?