Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi wa Soviet Union na Putin's Russia kukandamiza Ukiristo; lakini hataweza kuziia unabii. Daniel 11 inazungumzia mvutano kati ya Mfalme wa Kusini (USA& UK wakiungwa Mkono na Washirika wao dhidi ya Mfalme wa Kaskazini SOVIET/RUSSIA na Washirika wake) katika Daniel 11:20 inasema Mfalme wa Kaskazini atavunjwa ingawa si kwa hasira Wala vitani (kumbuka kilichoipata Soviet union 1991) na baada ya hapo ikaja Russia iliyodharaulika Dan. 11:21 ukiendelea kusoma mistari inayofuata utaona namna Russia ilivyoilaghai Dunia na baadae kuibuka kama taifa lenye nguvu kijeshi. Malizia mistari ya 44 na 45 uone atakavyoishia (aibu). Ndyo maana nasema tufuatilie kwa Karibu taarifa za Putin. Pamoja na unabii huu, lazima unabii mwingine katika. 1 Wathesolanike. 5:3 kwamba pale ambapo mwisho unatakakutokea ni lazima Dunia iseme Aha sasa tuna AMANI! hiyo itatokeaje iwapo Putin na shingo yake ngumu yupo!!??
View attachment 2613505View attachment 2613506
Iran wapo wakristo China inaruhusu biblia acha ujinga kama hujawah kusafiri usiongee usiyoyajua. Hizo nchi Mimi nikiwa huko kanisani naenda kama kawaida. Sema hawapo wengi so unakosa lile vibe kama la hapa kwetu.Math. 24:14 Na hii habari njema ya Ufalme itahubiriwa ktk Dunia yote inayokaliwa ili kuwa USHAHIDI kwa mataifa yote, na ndipo ule mwisho utakapo kuja. Lengo la Mungu ni kukusanya wanadamu wanyofu kutoka huko kwenye mifumo ya kijamii ambayo haiwapi uhuru wa kumjua Mungu wa Kweli na Mafundisho yake ya kweli (Biblia).
Hagai 2:7 Nami nitayatikisa Mataifa yote, vitu vya thamani vya mataifa vitaingia nyumba hii. Ufunuo 18:4 Tokeni kwake ninyi watu wangu, ikiwa hamtaki kupokea sehemu ya mapigo yake.
Maswali ninayotaka mtafalari ni haya:
1. Unakumbuka SOVIET UNION? je ulipata jua kuwa ilikuwa hairuhusu Ukiristo kama ulivyoruhusiwa nchi za Magharibi? Unakumbuka ilivyosambaratika? kwa sasa Putin anafanya shingo NGUMU, tuzifuatilie taarifa zake kwa karibu.
2. Unajua jinsi Ukiristo na Biblia vinavyopigwa vita katika Nchi za Kiislamu hususan zile za Kiarabu? Unakumbuka Arab Spring ilivyosababisha Waislam wengi kuhama nchi zao, vipi kuhusu YouTube na internet vinavyowasaidia Waislam wa nchi hizo kufikiwa na ujumbe wa Biblia? Mwana Mfalme wa Saudi Arabia inaonekana ameisha upata ukweli kwani Kuna Sera nyingi anabadili ambazo zitaleta uhuru wa kuabudu. Maayatolah wa Irani Bado Wana shingo ngumu, ndiyo maana Watoto wa kike wakaamdamana kukataa HIJABU
3. China kwa kiasi kikubwa hairuhusu Biblia kama ilivyo katika Nchi nyingine. Unajua namna Sera yao ya kupeleka wananchi wao kufanya kazi ng'ambo ilivyosaidia waujue Ukiristo?
mm nabaki na ujinga wangu, wewe uliyesafiri sana baki na werevu wako, lakini unabii wa biblia lazima utatimia; nakusikitikia kuwa kwa nyakati tuishizo unatimia kwa haraka sana na kukamilika nyakati zetu. Utang’amua wakati it’s too late. Watch out for the events unfolding in RussiaIran wapo wakristo China inaruhusu biblia acha ujinga kama hujawah kusafiri usiongee usiyoyajua. Hizo nchi Mimi nikiwa huko kanisani naenda kama kawaida. Sema hawapo wengi so unakosa lile vibe kama la hapa kwetu.
Unabii unatimia lakin mengi uliyoandika sio kweli so ukisema uongo huna shirika na Mungu Chiefmm nabaki na ujinga wangu, wewe uliyesafiri sana baki na werevu wako, lakini unabii wa biblia lazima utatimia; nakusikitikia kuwa kwa nyakati tuishizo unatimia kwa haraka sana na kukamilika nyakati zetu. Utang’amua wakati it’s too late. Watch out for the events unfolding in Russia
Kuhusu China nimesema " kwa kiasi kikubwa China hairuhusu Biblia kama ilivyo nchi nyingine" hapa chini nakuwekea article kwenye gazeti la the Guardian la 2019, ambayo Inaonyesha kuwa si kwamba China Ina suppress Christianity bali imeenda mbali to rewrite the bible to suit their communist agenda"Unabii unatimia lakin mengi uliyoandika sio kweli so ukisema uongo huna shirika na Mungu Chief
Wajua enzi hizo mataifa ilimaanisha ukanda huo wa Israel na jamaa zao hapo, sisi huku nasi tulikuwa na maelekezo toka kwa wakwetu ambao baadaye waliitwa washenziHagai 2:7 Nami nitayatikisa Mataifa yote, vitu vya thamani vya mataifa vitaingia nyumba hii. Ufunuo 18:4 Tokeni kwake ninyi watu wangu, ikiwa hamtaki kupokea sehemu ya mapigo yake.
Wajua enzi hizo mataifa ilimaanisha ukanda huo wa Israel na jamaa zao hapo, sisi huku nasi tulikuwa na maelekezo toka kwa wakwetu ambao baadaye waliitwa washenzi
zamani mimi nilikuwa naona kama mwisho upo mbali sana kwasababu fikra zangu ilikuwa ni kwamba, itabidi watu tutoke kwenda kuhubiri physically kila sehemu ya dunia kama north korea, china, Talibani, iraq na uarabuni n.k. nimekuja kugundua kuwa, injili tayari inafika kila pembe ya dunia kwa njia ya mtandao, hatuhitaji tena kwenda kwa ndege nchi za nje kuhubiri, unaweza kuwepo hapohapo kijijini kwako ukiwa na simu ukarusha mahubiri na dunia nzima ikayapokea na kusikia toka kwa Mungu.Math. 24:14 Na hii habari njema ya Ufalme itahubiriwa ktk Dunia yote inayokaliwa ili kuwa USHAHIDI kwa mataifa yote, na ndipo ule mwisho utakapo kuja. Lengo la Mungu ni kukusanya wanadamu wanyofu kutoka huko kwenye mifumo ya kijamii ambayo haiwapi uhuru wa kumjua Mungu wa Kweli na Mafundisho yake ya kweli (Biblia).
Hagai 2:7 Nami nitayatikisa Mataifa yote, vitu vya thamani vya mataifa vitaingia nyumba hii. Ufunuo 18:4 Tokeni kwake ninyi watu wangu, ikiwa hamtaki kupokea sehemu ya mapigo yake.
Maswali ninayotaka mtafalari ni haya:
1. Unakumbuka SOVIET UNION? je ulipata jua kuwa ilikuwa hairuhusu Ukiristo kama ulivyoruhusiwa nchi za Magharibi? Unakumbuka ilivyosambaratika? kwa sasa Putin anafanya shingo NGUMU, tuzifuatilie taarifa zake kwa karibu.
2. Unajua jinsi Ukiristo na Biblia vinavyopigwa vita katika Nchi za Kiislamu hususan zile za Kiarabu? Unakumbuka Arab Spring ilivyosababisha Waislam wengi kuhama nchi zao, vipi kuhusu YouTube na internet vinavyowasaidia Waislam wa nchi hizo kufikiwa na ujumbe wa Biblia? Mwana Mfalme wa Saudi Arabia inaonekana ameisha upata ukweli kwani Kuna Sera nyingi anabadili ambazo zitaleta uhuru wa kuabudu. Maayatolah wa Irani Bado Wana shingo ngumu, ndiyo maana Watoto wa kike wakaamdamana kukataa HIJABU
3. China kwa kiasi kikubwa hairuhusu Biblia kama ilivyo katika Nchi nyingine. Unajua namna Sera yao ya kupeleka wananchi wao kufanya kazi ng'ambo ilivyosaidia waujue Ukiristo?
Bro mi kila miez 3 naenda china ninasali nina bible yangu hakuna anaeniuliza nazinguka huko mikoan achana na propaganda za wazungu Chief. Kule china ambacho hawaruhusu ni kusumbua watu kuhusu dini kwa kuwapigia kelele so ukiacha mikoa ya waighur ambao ni waislamu mikoa mingine yote huruhusiwa kupiga kengele au azana. Na hoja yao ni rahic tu kila mtu anaemuamin Mungu haihitajik kukumbushwa kwenda kusali so ukifika muda wa kusali nenda kasali. Acha kusumbua wangine wana haki ya kutokusikia kelele zenu.Kuhusu China nimesema " kwa kiasi kikubwa China hairuhusu Biblia kama ilivyo nchi nyingine" hapa chini nakuwekea article kwenye gazeti la the Guardian la 2019, ambayo Inaonyesha kuwa si kwamba China Ina suppress Christianity bali imeenda mbali to rewrite the bible to suit their communist agenda"
Take no note just like the world during Noah’s day; eat, drink & revelry like this world has several more decadesBro mi kila miez 3 naenda china ninasali nina bible yangu hakuna anaeniuliza nazinguka huko mikoan achana na propaganda za wazungu Chief. Kule china ambacho hawaruhusu ni kusumbua watu kuhusu dini kwa kuwapigia kelele so ukiacha mikoa ya waighur ambao ni waislamu mikoa mingine yote huruhusiwa kupiga kengele au azana. Na hoja yao ni rahic tu kila mtu anaemuamin Mungu haihitajik kukumbushwa kwenda kusali so ukifika muda wa kusali nenda kasali. Acha kusumbua wangine wana haki ya kutokusikia kelele zenu.
Kigoda mm siyo kabisa wa kunilinganisha na hao waliopumbazwa. Haya yote ninayowaambia kuhusu unabii wa Biblia ni kutokana na huruma kwani time remaining is so short; and there's no getting better from the down spiraling in the world conditions. Nime identify zile ishara kuu, na Bado mnadhihaki.
Nehemia 8:1,4-6Kigoda mm siyo kabisa wa kunilinganisha na hao waliopumbazwa. Haya yote ninayowaambia kuhusu unabii wa Biblia ni kutokana na huruma kwani time remaining is so short; and there's no getting better from the down spiraling in the world conditions. Nime identify zile ishara kuu, na Bado mnadhihaki.
OkayNehemia 8:1,4-6
Kisha watu wote wakakusanyika wakiwa na kusudi moja katika uwanja wa jiji uliokuwa mbele ya Lango la Maji, wakamwambia Ezra mwandishi alete kitabu cha Sheria ya Musa, ambayo Yehova alikuwa ameamuru Waisraeli waifuate.
4 Na Ezra mwandishi alikuwa amesimama juu ya jukwaa la mbao, lililotengenezwa kwa kusudi hilo; na Matithia, Shema, Anaya, Uria, Hilkia, na Maaseya walisimama upande wake wa kulia; na upande wake wa kushoto Pedaya, Mishaeli, Malkiya, Hashumu, Hash-badana, Zekaria, na Meshulamu.
5 Ezra akakifungua kitabu mbele ya watu wote, kwa maana alikuwa juu kuliko watu wote. Alipokuwa akikifungua, watu wote wakasimama.
6 Kisha Ezra akamsifu Yehova Mungu wa kweli, Aliye mkuu, kisha watu wote wakajibu, “Amina! Amina!” nao wakainua mikono yao juu. Kisha wakamsujudia Yehova huku nyuso zao zikigusa ardhi.
UKIWEZA NAOMBA MAFUNDISHO HAYO UYAINGIZE KWENYE MATENDO,KUNA JAMBO KUBWA UTAJIFUNZA IKIWA UTAIPA UHURU NAFSI YAKO.