Ulipata kujiuliza Unabii katika Mathayo 24:14 utatimizwaje?

Dunia tambala bovu, huko kwingi e watu wanazungumza kutokuwepo Mungu, hapa tunazungumza mwisho wa Dunia. Wengine wako busy ku explore universes, mambo mengi kwakweli.
 
 
Iran wapo wakristo China inaruhusu biblia acha ujinga kama hujawah kusafiri usiongee usiyoyajua. Hizo nchi Mimi nikiwa huko kanisani naenda kama kawaida. Sema hawapo wengi so unakosa lile vibe kama la hapa kwetu.
 
Iran wapo wakristo China inaruhusu biblia acha ujinga kama hujawah kusafiri usiongee usiyoyajua. Hizo nchi Mimi nikiwa huko kanisani naenda kama kawaida. Sema hawapo wengi so unakosa lile vibe kama la hapa kwetu.
mm nabaki na ujinga wangu, wewe uliyesafiri sana baki na werevu wako, lakini unabii wa biblia lazima utatimia; nakusikitikia kuwa kwa nyakati tuishizo unatimia kwa haraka sana na kukamilika nyakati zetu. Utang’amua wakati it’s too late. Watch out for the events unfolding in Russia
 
Unabii unatimia lakin mengi uliyoandika sio kweli so ukisema uongo huna shirika na Mungu Chief
 
Unabii unatimia lakin mengi uliyoandika sio kweli so ukisema uongo huna shirika na Mungu Chief
Kuhusu China nimesema " kwa kiasi kikubwa China hairuhusu Biblia kama ilivyo nchi nyingine" hapa chini nakuwekea article kwenye gazeti la the Guardian la 2019, ambayo Inaonyesha kuwa si kwamba China Ina suppress Christianity bali imeenda mbali to rewrite the bible to suit their communist agenda"
 
Ona hii article jinsi China inavyo suppress the bible
 
Hagai 2:7 Nami nitayatikisa Mataifa yote, vitu vya thamani vya mataifa vitaingia nyumba hii. Ufunuo 18:4 Tokeni kwake ninyi watu wangu, ikiwa hamtaki kupokea sehemu ya mapigo yake.
Wajua enzi hizo mataifa ilimaanisha ukanda huo wa Israel na jamaa zao hapo, sisi huku nasi tulikuwa na maelekezo toka kwa wakwetu ambao baadaye waliitwa washenzi
 
Hapa chini nakuwekea article kuhusu ukandamizaji ukiristo in Iran
 

Attachments

  • Screenshot_20230627-124053.png
    115.9 KB · Views: 8
Wajua enzi hizo mataifa ilimaanisha ukanda huo wa Israel na jamaa zao hapo, sisi huku nasi tulikuwa na maelekezo toka kwa wakwetu ambao baadaye waliitwa washenzi

Ndg zangu kwa niseme tu kuwa ninafarijika kuwa mnayaona haya ninayowaeleza kuhusu kile Biblia imetabiri kuhusu nyakati zetu. Najua mambo haya kuyaamini ni vigumu sana. Mungu katika 2 Peter 3:9 God doesn't desire any to be destroyed...
Hivyo ninacho wasihii ni kuwa jaribuni kufuatilia utimizo wa matukio niliyo yataja; kwa kuanzia fuatilieni kwa Karibu Putin na Russia. You knowledge of how the unfolding of these events may help you build confidence on bible prophesies
 
zamani mimi nilikuwa naona kama mwisho upo mbali sana kwasababu fikra zangu ilikuwa ni kwamba, itabidi watu tutoke kwenda kuhubiri physically kila sehemu ya dunia kama north korea, china, Talibani, iraq na uarabuni n.k. nimekuja kugundua kuwa, injili tayari inafika kila pembe ya dunia kwa njia ya mtandao, hatuhitaji tena kwenda kwa ndege nchi za nje kuhubiri, unaweza kuwepo hapohapo kijijini kwako ukiwa na simu ukarusha mahubiri na dunia nzima ikayapokea na kusikia toka kwa Mungu.

hii pia inaambatana na ukweli kwamba, hakuna mtu atakayejitetea siku ile kwamba hakuwa na opportunity ya kuihubiri injili kwasababu majority tunatumia mitandao ya simu ila kwa mambo mabaya badala ya kusambaza injili. Mungu atusaidie tufahamu hili.
 
Bro mi kila miez 3 naenda china ninasali nina bible yangu hakuna anaeniuliza nazinguka huko mikoan achana na propaganda za wazungu Chief. Kule china ambacho hawaruhusu ni kusumbua watu kuhusu dini kwa kuwapigia kelele so ukiacha mikoa ya waighur ambao ni waislamu mikoa mingine yote huruhusiwa kupiga kengele au azana. Na hoja yao ni rahic tu kila mtu anaemuamin Mungu haihitajik kukumbushwa kwenda kusali so ukifika muda wa kusali nenda kasali. Acha kusumbua wangine wana haki ya kutokusikia kelele zenu.
 
Take no note just like the world during Noah’s day; eat, drink & revelry like this world has several more decades
 
Nehemia 8:1,4-6

Kisha watu wote wakakusanyika wakiwa na kusudi moja katika uwanja wa jiji uliokuwa mbele ya Lango la Maji, wakamwambia Ezra mwandishi alete kitabu cha Sheria ya Musa, ambayo Yehova alikuwa ameamuru Waisraeli waifuate.

4 Na Ezra mwandishi alikuwa amesimama juu ya jukwaa la mbao, lililotengenezwa kwa kusudi hilo; na Matithia, Shema, Anaya, Uria, Hilkia, na Maaseya walisimama upande wake wa kulia; na upande wake wa kushoto Pedaya, Mishaeli, Malkiya, Hashumu, Hash-badana, Zekaria, na Meshulamu.
5 Ezra akakifungua kitabu mbele ya watu wote, kwa maana alikuwa juu kuliko watu wote. Alipokuwa akikifungua, watu wote wakasimama.
6 Kisha Ezra akamsifu Yehova Mungu wa kweli, Aliye mkuu, kisha watu wote wakajibu, “Amina! Amina!” nao wakainua mikono yao juu. Kisha wakamsujudia Yehova huku nyuso zao zikigusa ardhi.

UKIWEZA NAOMBA MAFUNDISHO HAYO UYAINGIZE KWENYE MATENDO,KUNA JAMBO KUBWA UTAJIFUNZA IKIWA UTAIPA UHURU NAFSI YAKO.
 
Okay
Romans 15:4 says"For all the things that were written beforehand were written for our instruction, so that through our endurance and through the comfort from the Scriptures we might have hope"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…