chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
nilibahatika kupata watoto wa3 ndani ya mwaka moja gentleman, wawili walizaliwa mwezi May mwaka huo huo na mwingine mwishoni mwa mwaka huo nikiwa na below 40, na hao watoto wote ni wale ambao hawafahamiki kwa mwandani wangukwa wale mliojaaliwa kuwa na mtoto au watoto, je ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi ?
ulipanga au ilitokea kwa bahati tu ?
swali special kwa wanawake: ulipata mimba kwa mara ya kwanza ukiwa na miaka mingapi ?
( maana najua hapa wengi huwa wanapata alafu wanatoa )
Kupata mtoto sio mpaka uoe.Si tulikubaliana hakuna kuoa ? Ama nyie ndio mnaozalisha singo maza wanaongezeka mtaani ?
sawa shemeji mimi niko poa kabisa hofu kwako tu...shem nimekumis mno uko poa kwanza?
hapo kwa wadada naomba tuzungumzie watoto tu waliopo hai mambo sijui ya mimba kutoka au kutolewa achana nayo
sawa shemeji mimi niko poa kabisa hofu kwako tu...
Chainilibahatika kupata watoto wa3 ndani ya mwaka moja gentleman, wawili walizaliwa mwezi May mwaka huo huo na mwingine mwishoni mwa mwaka huo nikiwa na below 40, na hao watoto wote ni wale ambao hawafahamiki kwa mwandani wangu
mpaka mtwambie!jamani