Ulipataje connection yako iliyokupa ajira?

Ulipataje connection yako iliyokupa ajira?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Ebu kila mmoja leo ajaribu kushare namna alivyofanya mpaka kupata connection yake iliyompa ajira aliyonayo.

Binafsi najitahidi sana kutafuta connection za ma hr wa kwenye mabank hasa nmb bank but siwapati.

So hebu jaribuni kushare experiences zenu hapa please.
 
Mimi nilichaguliwa chuo cha KCMC kugusa masomo yangu ya udaktari (Doctor of medicine)....Mshua akaniambia Hapana kuna rafiki yake mmoja alikua waziri wizara ya majuu wakati wa JK Kamshahuri niguse kozi moja ya chuo cha wa FRELIMO pale Dar mzee nikapiga kweli second year sikuimaliza nikapata kazi nikasepa zangu.....nasikitika ile tu naanza JoB mshua akakata moto may that man's soul find an eternal peace [emoji2969][emoji2969]
Nakuona Afsa kipenyo
 
Mimi nilichaguliwa chuo cha KCMC kugusa masomo yangu ya udaktari (Doctor of medicine)....Mshua akaniambia Hapana kuna rafiki yake mmoja alikua waziri wizara ya majuu wakati wa JK Kamshahuri niguse kozi moja ya chuo cha wa FRELIMO pale Dar mzee nikapiga kweli second year sikuimaliza nikapata kazi nikasepa zangu.....nasikitika ile tu naanza JoB mshua akakata moto may that man's soul find an eternal peace 🤲🤲
Naomba koneksheni 😂
 
Kwa hiyo mshua alivyokata moto na connection nayo ikakata moto?
 
Yaani wewe unavyowala kimasihara hata nikiwa na genye zangu, sidhani kama nitakupa utamu lol. Ni bora nibaki na genye zangu kuliko kukupa wewe utamu
Nilitaka tu kujua kwamba "Hiyo miguu kwenye Avatar ni yako"??

Halafu kengine AM A GOOD BOY.

#YNWA
 
Back
Top Bottom