Ulipataje connection yako iliyokupa ajira?

Ulipataje connection yako iliyokupa ajira?

Chukua demu wakishua nkawa nacheza baba take ambae ni boss sehem fulan .demu nae akaja kuwa title Apo ofsini akanivuta.
Mahusiano yakafa
Bado nipo kazini
 
Hello wapendwa tunaombeni mbinu jamani nipo mtaan mwaka wa 4 huu nna advanced diploma in accountancy hata internship nafanya tusaidiane wapendwa mimi nipo Dodoma
 
Hello wapendwa tunaombeni mbinu jamani nipo mtaan mwaka wa 4 huu nna advanced diploma in accountancy hata internship nafanya tusaidiane wapendwa mimi nipo Dodoma
Dodoma sehemu gani upo? Uko ndo sehem ya kujichanganya na ukijichanganya kuna wabunge, mawaziri, wakuu wa taasisi nyingi za serikali, wakuu wengi wenye vyeo majeshi mbalimbali na wengine wengi, kama unajifungua ndani uwezi kupata connection mkuu toka ujichanganye.
 
Tunajichanganya hivo hivo ila bado sijafanikiwa
 
Ebu kila mmoja leo ajaribu kushare namna alivyofanya mpaka kupata connection yake iliyompa ajira aliyonayo.
Binafsi najitahidi sana kutafuta connection za ma hr wa kwenye mabank hasa nmb bank but siwapati.
So ebu jaribuni kushare experiences zenu hapa please.
Unaufahamu mtandao wa Linkedin?
 
Nina 1M kama zawadi kwa atayeniunganisha na ajira ya ualimu,watapeli mkae mbali uchawi wa bibi ninao kwahy utatapeli milioni ila hutokaa uile..asanteni.
 
Nina 1M kama zawadi kwa atayeniunganisha na ajira ya ualimu,watapeli mkae mbali uchawi wa bibi ninao kwahy utatapeli milioni ila hutokaa uile..asanteni.
Binafsi au government... Masomo yapi?
 
Nilikua nimeenda ofisi moja ya serikali kumsalimia aunt yangu,kufika pale nikakutana na tangazo la scholarship kwa elimu ya chuo...chap nikaandika barua yangu ya maombi and the rest is history....nilivyomaliza chuo moja kwa moja nikaunganishwa kwenye ajira...[emoji4]
 
Back
Top Bottom