Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Kwani vibaya mkuu?Umexpose bei ya mzigo
Mwanza soko sio zuri sana sasa hivi ni 220k mpaka 230k hapo unapata kwa shidi huku visiwani wafanyabiashara wengi hawauzii mwanza wanapeleka mikoa mbali mbali ila sasa kukupa connection ni issueHapo mwanza unauza kwa bei gani?
Bukoba mkuu wilaya ya muleba kisiwa cha Goziba.Dagaa wa mwanza (wenye mchanga) au wa bukoba (wasio na mchanga)?
Uku kigoma bei ya kukamata moto 😆 dagaa watano 2000Habari wakuu, kwa wale wapambanaji wenye interest na biashara ya dagaa tunaweza kufanya biashara mimi sasa nipo kisiwa cha GOZIBA...
Fafanua vizuri mkuuUku kigoma bei ya kukamata moto 😆 dagaa watano 2000
[emoji1787][emoji23][emoji1787]Uku kigoma bei ya kukamata moto [emoji38] dagaa watano 2000
Chief uku kwa moto dagaa hatuli kabisa tunaishia kuwaona wakianikwa ziwani wakitoka apo ni nduki kwa wenyewe[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Bei utalaliwa mpaka ushangaeKwani vibaya mkuu?
Hawakamatiki kwa kula mzee bei ghaliFafanua vizuri mkuu
😆😆 vipi wa bukoba hawana soko huko?Chief uku kwa moto dagaa hatuli kabisa tunaishia kuwaona wakianikwa ziwani wakitoka apo ni nduki kwa wenyewe
JF wengi matapeli niko makini mkùuBei utalaliwa mpaka ushangae
Mtazamo wangu lakini
Kilitokea nini mkuu?Dah!! Dagaa, usinikumbushe. 🤣😂
Hii margin ni ndogo sana. Mwenye mtaji wa gunia chini ya 20 kukatika ni kugusa tu.Mwanza soko sio zuri sana sasa hivi ni 220k mpaka 230k
Nacheka kama mazuri ila inasikitisha.Kilitokea nini mkuu?
Uku wa bukoba soko lipo lkn sio sana kama wale wa mawe wa mwanza watu mpk meno yashazoea mipalangano😆😆😆 vipi wa bukoba hawana soko huko?