Wanafk hao mkuuuWe umejuaje mambo ya kaburini?
Kinachokufa ni mwili tu, roho yako na nafsi hako havifi, kumbuka kisa cha tajiri na lazaro kwenye biblia. Usijifariji kuwa mfu hajui neno, roho yako na nafsi yako vinaendelea kuwa hai, unaona na kuhisi kila kitu.Mtu mfu hajui neno lolote!
Ngoja ukifa utajua kuwa kaburini ni giza kuu au ni mahali pa kufikiria back things.