MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Mawazo ya kijinga haya na yasiyo na mantiki.Unaweza kuwauliza na wao washasahau.utakufa wewe na mkeo anakusahau.Tengeneza kitu ambacho watu watakao kuja hawata kusahau.
Unaweka profile ya simba si bora ungejitambulisha kuwa wewe niMawazo ya kijinga haya na yasiyo na mantiki.
Kwanza hujawauliza, pili hauna uthibitisho wa madai Yako kwa hao watoto na ndugu zake.
Tatu unafikiri Kila kibaya kinasaulika!
Nne, watu wa Dodoma hawamuoni kama ni mbaya.
Tano: Roho zako mbaya na chuki zipeleke kwingine.
Umeona jinsi akili zako zilivyo ndogoUnaweka profile ya simba si bora ungejitambulisha kuwa wewe niView attachment 3624361
Upo sahihi, haka katoto sijui kametokea wapi?Mawazo ya kijinga kama haya ndo yanaizuia Africa kuendelea
MTU amekufa akiwa na miaka 60+ ameishi maisha yote akila bata Leo hii unawaza kuhusu MTU kama huyo
Hao wanawakilisha your personality.
profile yako mbona iran bado inasujudu mtu aliyekufa na mpaka kuzunguka na marehemu miezi yote.Ukishakufa umekufa Safari yako kimwili inakuwa imeishia hapo na ya kiroho inaanzia hapo
Umewahi kufariki?Waliokufa wengi wanatamani hata wapate dakika chache warudi kurekebisha makosa yao.
Na mwandikia hapa ni marehemu job ndungai kama nahisi anatamani hata hawa waliopo na kiburi wajiulize baada ya maisha ukifa utaacha nini wakukumbuke.
Leo hata mtu ukimuuliza kulikuwa na spika wa bunge alishafariki anaweza kuchukua dakika 10 au kuuliza AI kujua ni nani.
Mimi niliye mjinga nauliza kwa mara nyingine, umewahi kufa?Wakati wanaza dunia itakuwa na wajinga kama wewe mfano baba yako alivyoelezwa kutakuwa na kizazi cha wajinga alifika huko