Jentelomeni
Member
- Aug 21, 2023
- 11
- 64
hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa hadi Songea leo hamna...wakati haukatagi huku😃😃😃Wapi ulipo Dar?
Muone na huyu😃😃🧐safi sana
Huko si ndio mpo karibu na kwenye gesi yenyeweNashangaa hadi songea leo hamna...wakati haukatagi huku😃😃😃
hakuna namna, wacha wakateMuone na huyu😃😃🧐
Ndo Hivyo, umeme hamna leo😌😌Huko si ndio mpo karibu na kwenye gesi yenyewe
HakunaNauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Hamna.Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Kwakweli tuwaache 🙌🙌hakuna namna, wacha wakate
wameshikilia mpini
Mikindani wamekata pia, mpaka MadangwaKwakweli tuwaache 🙌🙌
Wapi huko mkuu😃😃🤓Huoooooo
Pale ambapo simu ina 24%😌😌😥Mikindani wamekata pia, mpaka Madangwa
Posta hakuna, Mikocheni hakuna, Goba hakuna.
NAENDA MWENGE NIKIKOSA NITAWAJULISHA.
MWANZANauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
26%Pale ambapo simu ina 24%😌😌😥