Jentelomeni
Member
- Aug 21, 2023
- 11
- 64
Nashangaa hadi Songea leo hamna...wakati haukatagi hukuπππWapi ulipo Dar?
Muone na huyuπππ§safi sana
Huko si ndio mpo karibu na kwenye gesi yenyeweNashangaa hadi songea leo hamna...wakati haukatagi hukuπππ
hakuna namna, wacha wakateMuone na huyuπππ§
Ndo Hivyo, umeme hamna leoππHuko si ndio mpo karibu na kwenye gesi yenyewe
HakunaNauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Hamna.Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Kwakweli tuwaache ππhakuna namna, wacha wakate
wameshikilia mpini
Mikindani wamekata pia, mpaka MadangwaKwakweli tuwaache ππ
Wapi huko mkuuπππ€Huoooooo
Pale ambapo simu ina 24%πππ₯Mikindani wamekata pia, mpaka Madangwa
Posta hakuna, Mikocheni hakuna, Goba hakuna.
NAENDA MWENGE NIKIKOSA NITAWAJULISHA.
MWANZANauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
26%Pale ambapo simu ina 24%πππ₯