Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Ili wakale wapiHalafu huu ni ujinga, yaani nchi nzima inategemea kapointi kamoja tu umeme unakata pote!
Kwa nini wasingedecentralize hizo power sources and control zikawa hata kimajimbo au kanda?
Kwa fizikia ya darasa la tatu sijui la sita ina maana nchi yetu inatumia muundo wa mfuatano na sio muundo sambamba!!!?
Naomba kabisaNikugawie charge?
Intact tumeshindwa kuongoza vyema shirika hili ,kutafuta GIANT COMPANY ZENYE EXPRIENCE KUBWA SI DHAMBI.Hamna umeme hata jana mchana haukuwepo pia ni mara nying tu wanakata
Tanesco wamepewa tuzo jana huko Arusha kutokana na mageuzi makubwa waliyofanya!Dp [emoji289] waje waichukue na tanesco kama nyiongeza
[emoji23][emoji23]Sasa kama mkoa unaoishi au Mahalia ulipo Hadi muda huu bila bila umeme aujarudi fanyeni mpango muame ayo maeneo serikali inampango wa kuyafanya hifadhi ya taifa litawakuta jambo huko msije SEMA amkuambiwa
Sawasawa [emoji122][emoji122].. vipi lakini huko usharudi au ndo tuendelee kusubiri [emoji3]
Watz mna gubu sana watu wasifanye marekebisho kisa wewe simu yako haina chaji unataka kuchat
Hiv mkuu 350 inakubali kununua umeme?Kumbe Ni Kote Hadi hapa Dodoma hamna Mi nikajua vile vi Unit vyangu vya Shilingi 350 Vimekata
Usije mkuu mwenge hatuna umeme [emoji28]
Yah inakubali unapata Unit 1Hiv mkuu 350 inakubali kununua umeme?
Hahah😂😂...basi sawaMe niko vijijini huku hata nguzo za Tanesco hazipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wabunge tunawaona kipindi cha uchaguzi, wanatuletea vitenge na kofia za kazi iendelee…!!
Nashukuru nimeamka vyema 🤭Umeamka? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]