Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Ili wakale wapiHalafu huu ni ujinga, yaani nchi nzima inategemea kapointi kamoja tu umeme unakata pote!
Kwa nini wasingedecentralize hizo power sources and control zikawa hata kimajimbo au kanda?
Kwa fizikia ya darasa la tatu sijui la sita ina maana nchi yetu inatumia muundo wa mfuatano na sio muundo sambamba!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app