Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
- Thread starter
- #281
Haaaa umeelewekaNilikuwa zangu kitandani mara my Mr akaja akanambia "magufuli kafa" nilichukua simu yake ghafla kuangalia kama kweli maana wakati ule nilikuwa natumia kitochi na laptop niliona tabu kulogin jf.....
Basi bhana ikawa ni amani tu sikulala mpaka kesho yake saa 10 jioni ndo napata usingizi.
Apumzike tu yule mzee kwa yale mafekeche yake yalokuwa yanaendelea sirini na wateule wake sina budi kusema awekwe mahala alipojiandalia.