Nimekumbuka mwingine....
Upendo wa Mungu ni mkuuuu
Unapita vitu vyoteeee
Hata milima mirefuuuu
sijui nini na nini........
......
Kwa kuandika Upendo huooo wino unge ee kwishaa.
Naombeni huu wimbomsalaba mbele dunia nyuma 3 baba na mama wakiniacha *3 sitarudii *4
Hahaha umetisha mzee.Halafu huu wimbo lazima kuwe na viherehere wawili yaani anaeseeema
Miiiiiiiiiileleeeee
Na kundi la masela wanaitikia
Daimaaaaaaaaaa
Yaaani unaitikia mpaka unasikia koo linataka kung'oka
ingia googleNaombeni huu wimbo