Ulipokua ugenini kwa wakwe au ndugu kumbukumbu gani ya kushare choo ilikupa ugumu

kibangubangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
272
Reaction score
353
Unakuta nyumba ina watu si chini ya saba choo kimoja basi asubuhi ni nani anaanza nani anamaliza...

Au choo kipo eneo la barazani na ndugu na jamaa barazani ndo kijiwe

Wakati hali iko hivyo mkojo wa asubuhi hakuonei huruma...

Au tumbo linaamua tu kukuharibia...

hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…