Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

M nilikuwa nawaza tu kuoa maana nilipokuwa nalala mboo ilikuwa inadinda kinyama
 
Ulipokuwa mdogo ulitaman Kuwa mkubwa, niambie ni nn kilikuvutia mpka utaman ukubwa je leo hii hujuti kuwa mkubwa!?? I tiririka hapa tuone ni wangani na akina nani walikuwa wanamawazo yanayofanana[emoji16][emoji16]
Nilitamani kua mkubwa ili niwe rubani nirushe yale ma boeing 747,777, etc.
 
Nilikuwa natamani kuanza kwichikwichi kama nlivokua naona kwenye video
 
Nilikuwa nataman kuwalamba wanawake warembo walionizd umri kipindi iko so nikalilia ukubwa .kwa sasa nimeshatosheka nataman utoto kwan kero zinazd .
 
Kugegeda tu aisee maana tulikuwa tunaona tu mabro wakiiejoy dada zetu tu
 
Ok now hao chura unawapata bila shida au majanga tu
 
Nilikua napenda sana kulala sasa tatizo kuamka SAA kumi na mbili eti nawahi shule hakuna kitu nilikua natamani kama na Mimi niwe mkubwa niwe nalala mpaka muda nitakaojisikia ...nilikua nawaonea wivu sana walimu eti anakuja shule SAA mbili
Hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…