Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

mimi sijawahi kutamani kuwa mkubwa ila sasa natamani sana kuwa mdogo

teh teh
na sababu ni hizi hapa
1. sitakuwa na muda wa kufikiri nitakula nini au nitavaa nini?
2. nikiambiwa kalale nitafurahi na kwenda very fast
3. sipendi nifike miaka mitatu maana nitaambiwa n iende shule kitu ambacho sikipendi kabisa.
So kwa maana hiyo natamani mwaka mmoja hadi miwili na nusu nibaki hapo hapo
nitafurah sana kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Umetisha sana
 
Ok now hao chura unawapata bila shida au majanga tu
sasa hvi baada ya kukua nimebaini kuwa Pesa mbele kama dushe na makende ...chura bila hela unatafuta kujifia kwa kiuno tu
 
Nilikuwa natamani kukimbiza wanawake kama yanavyokimbiza mabeberu ya mbuzi.
 
Back
Top Bottom