Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,732
Ndio mkuuu.lakin cha ajabu nakimbia kushirikishwa kweny vikao sasa.haaah sijui imekaaje hii mkuuHahahah vp now una kwako
hahahahhaha nije nimevvaaaje?
maana inategemea unapenda uvaaji gani wewe?
Ndo kubalikiwa tena huko hongera sana ikiona mpaka unashirikishwa kweny vikao vya familia au hata vya harusi au matukio mengine ujue una uwezo na we unadhamani ktk familia hata jamii au ukooo.Ndio mkuuu.lakin cha ajabu nakimbia kushirikishwa kweny vikao sasa.haaah sijui imekaaje hii mkuu
lucky you..there are those who still live in fairytales to this day!Nilipokuwa mdogo nilitamani sana siku moja kuwa katika mahusiano. I longed to know what it meant to fall in love and be in love.
Nilijitunza sana and I lived a fairy tale life as Cinderella waiting for my prince charming.
Then I grew up and took long to snap out of my fairy tale character. Yes I met my prince charming, gave him my all but realised there is nothing like happily ever after.
There are in its stead ups and downs that make the bond stronger each day.
And yes I never regretted staying morally upright all this time.
Nilikua napenda sana kulala sasa tatizo kuamka SAA kumi na mbili eti nawahi shule hakuna kitu nilikua natamani kama na Mimi niwe mkubwa niwe nalala mpaka muda nitakaojisikia ...nilikua nawaonea wivu sana walimu eti anakuja shule SAA mbili
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Nilikuwa natamani kuwa na matiti
[emoji849][emoji849][emoji849]Mimi wala sitaman kuwa mkubwa sipendi uzeee jaman uwii nilitaman niwe kisichana tu miaka yoteee ili niwe naringa