Ahahah..kipindi hiko wimbo wa dudubaya unavuma ule video alifanya na yule muigizaji sandra .. mle ndani kuna kipande anaimba "simika mziziz" sandra anajibu "tetementeee"😂😂😂😂😅😅😅😅Nyie wachokozi 😅😅
We acha tu😄😅😅😅Sasa hivi umeacha kupiga Yowee
Bas ulikuaga ni ugomvi alikua anachukia sana, sasa kama ujuavyo kitu ukikichukia ndio kinakua zaidi. Bas ndio jina likapata umaarufu..😂😂😂.😅😅😅😅😅😅
Kuoga maji ya mabingomabingo ile miti flani mwembamba ipo kama miwa mixer kupaka unga usoniInaelezwa kuwa karibu watu wote wanaugua Surua na Tetekuwanga kwa nyakati tofauti katika ukuaji wao.
Mara kadhaa nimeshuhudia wazazi wengi wakiwatibu watoto wao kwa dawa za Asili wakieleza kuwa hutibu haraka na kwa uhakika.
Lakini kwanini hawataki kuwapeleka Hospitalini kupata ushauri wa kitaalamu na kupatiwa dawa sahihi?
Unakumbuka nini kuhusu Surua na Tetekuwanga? Karibu.