Ulipona Ugonjwa wa “Surua” na “Tetekuwanga” kwa dawa za Hospitali au za Asili?

Dawa ni calamine lotion na dawa za kupunguza homa. Tetekuwanga hazina dawa same with mumps. Zitakupata kwa muda wa siku 3 mpk week zinakuwa zishakauka. Labda uwe na zile mojamoja zinokuwa na vidonda deep
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20240823_182252_Chrome.jpg
    Screenshot_20240823_182252_Chrome.jpg
    510.2 KB · Views: 5
Inaelezwa kuwa karibu watu wote wanaugua Surua na Tetekuwanga kwa nyakati tofauti katika ukuaji wao.

Mara kadhaa nimeshuhudia wazazi wengi wakiwatibu watoto wao kwa dawa za Asili wakieleza kuwa hutibu haraka na kwa uhakika.

Lakini kwanini hawataki kuwapeleka Hospitalini kupata ushauri wa kitaalamu na kupatiwa dawa sahihi?

Unakumbuka nini kuhusu Surua na Tetekuwanga? Karibu.
Mimi nilipona kwa njia za Asili, nakumbuka nilifukizwa na kunywa dawa.

Why mnachukulia poaa njia zilizo tunza vizazi vya wazee wetu. Cha ajabu wagen wanazikumbatia kisha miaka ya baadae wana ileta na kutuuzia kwa ghalama kubwa.
 
Hatupuuzi tunataka kujua tu
 
Dawa ni calamine lotion na dawa za kupunguza homa. Tetekuwanga hazina dawa same with mumps. Zitakupata kwa muda wa siku 3 mpk week zinakuwa zishakauka. Labda uwe na zile mojamoja zinokuwa na vidonda deep
Asante kwa ufafanuzi
 
Inaelezwa kuwa karibu watu wote wanaugua Surua na Tetekuwanga kwa nyakati tofauti katika ukuaji wao.

Mara kadhaa nimeshuhudia wazazi wengi wakiwatibu watoto wao kwa dawa za Asili wakieleza kuwa hutibu haraka na kwa uhakika.

Lakini kwanini hawataki kuwapeleka Hospitalini kupata ushauri wa kitaalamu na kupatiwa dawa sahihi?

Unakumbuka nini kuhusu Surua na Tetekuwanga? Karibu.
Nikua na mwezi mmoja nakumbuka nililia sana nikanyonya nikalala nikajipata kesho yake nimepona
 
Niliugua huu ugonjwa nikiwa Advance, kutumia dawa za hospital, hollah,
Ikabidi kupewa taarifa home, nilipewa ruhusa kurudi, kufika home ntumia dawa za asili, week 1 tyuu niko mzima na nikarudi shule kuendelea na masomo.

Ila kuna madoa doa yalibaki mwilini, ndo nilitumia lotion ya Scaboma kuondoa makovu. Lol

Homa mbayaa ilee, sitaki hata kukumbukaa, aaaaah.
 
Naskia wanasema ni lazima kila mtu aumwe? Sisi watoto mbona hatujawahi?
 
Back
Top Bottom