Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Au kuna mtu wako wa karibu nae ana tatizo kama lile?Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?
Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai. Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua. Ninawashwa sana mwilini na vijipele...www.jamiiforums.com
Samahani mwenye huu uzi tunaomba mrejesho plz
Unataka kumsaidia mkuu?
Hayupo online kwa sasa ila bila shaka kwa msaada wa ushauri alioupata Mungu atamfanyia wepesiNatamani tu kujua kama amepona coz namuombea apone