Ulisema uchaguzi umekwisha, basi ondoa mapicha yako mitaani, pleaseee!


Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please!

Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona

Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
Waanze kuweka mabango ya kumsifia tena, niliwahi kusema kuwa mabango ya Samia kipindi kile hayakua na impact yoyote ila na sasa pia hayana na hayatakaa yawe
 
Hata ukiwa na furaha ukiyaona tu hasira kali inakupanda ghafla. Halafu wanashangaa ni kwa nini Watanzania tunaongoza kwa kutokuwa na furaha duniani 👹👹👹👹👹👹
 

Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please!

Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona

Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
Kusema kweli haya mapicha yanakera sana hapa mtaano. Waje tu wayaondoe aisee.
 

Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please!

Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona

Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
mkitaka wayatoe ongezeni maandishi makubwa MUUAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…