Mm nlitapeliwa kwny minada hii kwanza nlikua napta mbali tu na walipo njian , nkashangaa besen likanipiga kichwani kumbe walilirusha nkafatwa et una bahat umejishindia begi la mgongon sogea karbu ushinde zaid kulikua na vitu ving spika zile kubwa had generator kupewa hzo kad za kucheza ss wananipa moyo umejiongezea point za kushinda ckuelewa wamefikaje kwny mkoba nlikua na elf 20 na cm walichukua kuja kushtuka naliwa nkaanza kulia tu na hawana time na mm na ile pesa nlikua naenda kukata tiket kesho yke niende shulen daaah