Ulisha wahi kutongoza/tongozwa na bosi wako au mfanyakazi mwenzako?

Sijajua ni bahati mbaya ama nini

Kazi ya kwanza
Marafiki wawili; Niliyekuwa nawish awe mpenzi wangu hakuwahi kunitongoza badala yake alinitongoza rafiki yake ambaye hakuwa kwenye akili yangu...nilimkataa maisha yakaendelea bila shida yoyote hadi wote tulipoacha kazi

Kazi ya pili
Marafiki wawili; Niliyekuwa nawish awe mpenzi wangu hakuwahi kunitongoza badala yake alinitongoza rafiki yake ambaye hakuwa kwenye akili yangu...ajabu nilimkubali na nilimpenda kiasi kwamba tulikuwa tunasex hadi kazini dadeq
Maisha ya kazini yalikuwa amazing manake nilikuwa sigusi mshahara wangu, bills zangu alikuwa analipa yeye na kila kitu
 
Kazi ya pili,
Huyo ni me nakukumbuka sana Jo ilikua kama tuko paradise maana mapenzi na upendo ulionipa sio wa Dunia hii

#live long Jo🥰
 
Inatokea kwenye Maisha kipindi nmemaliza chuo nilikuwa na mshangazi branch manager wa kampuni x mkoa x kiufupi yeye ndiye alinifanyia connection nikapata kazi hapo kilingeni kwake. Sasa sometimes mpo katika pilikapilika za kazi akiniona full kunikonyeza alikuwa na vituko sana akabeba na mimba mshangazi yule na alikuwa mke wa mtu. Kiumbe kinachoitwa mwanamke kikikupenda ni hatari sana.
 
Inaonekana ulikuwa unapeleka moto sana
 
Sijajua ni bahati mbaya ama nini

Kazi ya kwanza
Marafiki wawili; Niliyekuwa nawish awe mpenzi wangu hakuwahi kunitongoza badala yake alinitongoza rafiki yake ambaye hakuwa kwenye akili yangu...nilimkataa maisha yakaendelea bila shida yoyote hadi wote tulipoacha kazi

Kazi ya pili
Marafiki wawili; Niliyekuwa nawish awe mpenzi wangu hakuwahi kunitongoza badala yake alinitongoza rafiki yake ambaye hakuwa kwenye akili yangu...ajabu nilimkubali na nilimpenda kiasi kwamba tulikuwa tunasex hadi kazini dadeq
Maisha ya kazini yalikuwa amazing manake nilikuwa sigusi mshahara wangu, bills zangu alikuwa analipa yeye na kila kitu
Kazini mlikuwa mnagongana wap ?
 
Kuliwa kazini dahh
 
Back
Top Bottom