Stability JF-Expert Member Joined Jan 30, 2020 Posts 822 Reaction score 2,966 May 11, 2026 #1 Nini haswa kimeabadirika? Matongo yanazidi kuwa mafupi au mashimo ndio yanazidi kuwa marefu
AYnay JF-Expert Member Joined May 7, 2026 Posts 1,704 Reaction score 4,504 May 11, 2026 #2 Vijana na mabinti wamekuwa wahuni wahuni , ndio matokeo yake hayo.
Palac JF-Expert Member Joined Mar 29, 2025 Posts 3,775 Reaction score 10,094 May 11, 2026 #3 Kawaida ukichimba shimo baada ya mvua kunyesha mchanga hurudi wenyewe ila sasa kwa ardhi ya sasa mashamba ni mengi sana udongo mchache
Kawaida ukichimba shimo baada ya mvua kunyesha mchanga hurudi wenyewe ila sasa kwa ardhi ya sasa mashamba ni mengi sana udongo mchache
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 May 11, 2026 #4 Hakuna mwanaume mwenye kibamia, wala hakuna mwanamke mwenye bwawa. N bc tuu tunakutana na mtu ambaye hutujamatch nae size ya vikojoleo. Japokuwa matumizi makubwa ya K yanafanya itanuke zaidi, so girls kuweni makini
Hakuna mwanaume mwenye kibamia, wala hakuna mwanamke mwenye bwawa. N bc tuu tunakutana na mtu ambaye hutujamatch nae size ya vikojoleo. Japokuwa matumizi makubwa ya K yanafanya itanuke zaidi, so girls kuweni makini
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 21,002 Reaction score 77,708 May 11, 2026 #5 Watu walikua hawana pa kusemea, mitandao ya kijamii inafanya habari zienee kwa haraka.