Hapana zile za utoto ni hisia za kawaida za kitoto nadhani woote wenye utashi wanapitia tht stage, na huwezi ukawa umemweka kuwa vile alivyokuwa kitoto ndivyo atakavyokuwa kwenye utu uzima, kwani katika utoto nadhani formula ni moja tu, girl likes boy, boy likes girl...
Ukubwani unavutiwa na mengi maana umeshapevuka, ila kama huyo wa primary ulivuka naye hadi sekondari labda...
Mimi baba alikuwa mtumishi wa SU so kuhamahama nilimalizia Monduli huko, mdogo darasa zima na njemba zote zilikuwa tayari ni morani, I didn't fancy anybody!