Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Dah aicee umeongea pweinti ya maana sana. tena hakuna hata mmoja aliyeigusia humu. watu wapo na mbunye tu na visirani vya mabebi mama wao.Pisi zote kali zinakasoro niliwahi kutana na moja somewhere huko ilikuwa pisi moja kali sio mchezo tatizo ni nilipo anza kuitumia tu ni kama nilikaribisha mikosi kweny maisha yangu asee pia wanajiamini sana hata kitandan ye analala tu mpaka umwambie geuka hivi akigeuka hivyo ndo basi yaniii
Hii kitu ya mikos mm nimewahi kuisikia kwa jamaa yangu akinishuudia maisha yake mwenyew binafs. Alinambia kuna dem ukiwa naye utaona mambo yanakwendea fresh adi mwenyew utashangaa ila kuna wengine wana mikosi ukiwa naye utashangaa hata km ulikuwa na michongo yako fresh itaanza kugoma mmoja baada ya mwingine na usiposhtuka mapema lazma uokote makopo au utashangaa mambo yako hayaendi tu.
Wale jamaa wa kusoma nyota wanakwambia sio kila mtu ni wa kuoana naye inatakiwa uangalie nyota zenu km zinaendana. km haziendani ndoivo mnaishia kuzalisha familia yenye mikosi.